Tetesi: Ali Kiba aongeza single mother, demu amkimbia Dar baada ya kukwepa majukumu

Tetesi: Ali Kiba aongeza single mother, demu amkimbia Dar baada ya kukwepa majukumu

anagawa mbegu eeeh haya
1c7bc6b00a2d397113ff14156461a4cd.jpg
 
Huyu nae kama Rashidi Matumla tu ,Kiba akifikisha miaka 40 watoto 15 , very primitive kama bushman aliyefanana nae
 
Habari wadau,

Msanii Ali Kiba ameongeza mtoto wa tano kwa mama tofauti. Mzazi mwenzie huyo kwa sasa (single mother) ni mkazi wa Mombasa na anadai alipewa ujauzito kipindi Ali Kiba anapiga show pwani hiyo.

Dada huyo akadai kuwa baada ya kujifungua alimtafuta mzazi mwenzie ambaye ni Ali Kiba lakini hakufanikiwa.

Ali Kiba baada ya kuulizwa alimumunya mumunya maneno bila kutoa jibu la maana zaidi ya kusema kupima damu (DNA).
DNA test mwisho wa ubishi.
 
Hawa wasanii sijui huwa WBC zao hazina receptor ya yule mdudu, hawapati ngoma kabisa yani, wapuuzi wanatamba tu peku peku wkt sie tukizingua mara moja pressure muda wote anyway sijui may be wana ngwengwe wapuuzi hawa.
 
Kuna sehemu umeona nimesema roho inaniuma .. Au nawe umekurupukia wapi?
Sasa unapomshauri mwanaume mwenzio aache kuzini na kuzaa ikiwa ujawahi hata kumpa hela ya unga unakuwa na maana gani?!
 
Back
Top Bottom