Ukitaka kufanya Kiki itambae wahusishe Tu WCB , hata kujishindanisha nao tu ndo utatoboa ..... Bila hvyo utaishia Kula mahindi ya kuchoma ๐๐๐Ni maamuzi yake binafsi hakuna wa kumuingilia, tutabaki kua shabiki zake tyuuh.
weka namba ya cn tukutumie๐๐๐Mwenye app ya instagram ANITUMIE
Nkaone nchi ilivosimama play store yangu inasumbua
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sio kwa kiba aseeh. Poleeeeh.Ukitaka kufanya Kiki itambae wahusishe Tu WCB , hata kujishindanisha nao tu ndo utatoboa ..... Bila hvyo utaishia Kula mahindi ya kuchoma [emoji3][emoji3][emoji3]
Duh et Nina mahaba na WCB au nacomment kulingana na stuation , hata hvyo WCB ndo wababe wa Mziki hapa nchini right now , hili Jambo linawaumiza Sana na tatizo Wana mziki wenu Wana uwezo mdogo wa kupindua meza... hata huyo konde boy mnayemvimbisha kichwa bado ni zao la WCB , na anachofanya zote ni gene za WCB, na bado anaangukia pua hajafika popote to break out the stability of WCB wasafi,.....Okey back to the topic kati ya Kiba na Mond Nani ni mtu wa kukunja Sana ?? Diamond kacheza nyimbo za Kiba nyingi tuu na clip zipo , na yeye mwenyewe ashasemea ni fan mkubwa Wa Kiba , na anamheshimu Kwa sababu kamtangulia kwenye game , masuala ya kwamba kampiga fimbo sa hv ni mipango ya Mungu tuu, Sawa Sawa na wewe kumzidi life mwalimu wako wa primary ambaye by then alikuwa anakuzid kila kitu , ni mipango ya Mungu Tu ...Nilikua nakuvizia comment yako mwenye MAHABA YA DHATI na WCB, nilijua tu mtasema anataka kutrend, vibaya Ali kupenda nyimbo za nasibu nyange au hata kucheza,? Ali amepevuka kiakili, inatufundisha hakuna haja ya kuwekeana ubaya hadi hata nyimbo tushindiwe kuzifurahia sababu ya chuki, maisha yenyewe mafupi..tunasubiria nasibu naye aanze kufurahia nyimbo za Ali , hakuna ubaya wowote na wala sio KIKI
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNaona kiba kashinda diamond karanga๐