Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Ukitaka kufanya Kiki itambae wahusishe Tu WCB , hata kujishindanisha nao tu ndo utatoboa ..... Bila hvyo utaishia Kula mahindi ya kuchoma 😀😀😀Ni maamuzi yake binafsi hakuna wa kumuingilia, tutabaki kua shabiki zake tyuuh.