Ali Kiba apagawishwa na nyimbo za Wasafi

Ali Kiba apagawishwa na nyimbo za Wasafi

Ni maamuzi yake binafsi hakuna wa kumuingilia, tutabaki kua shabiki zake tyuuh.
Ukitaka kufanya Kiki itambae wahusishe Tu WCB , hata kujishindanisha nao tu ndo utatoboa ..... Bila hvyo utaishia Kula mahindi ya kuchoma 😀😀😀
 
Ukitaka kufanya Kiki itambae wahusishe Tu WCB , hata kujishindanisha nao tu ndo utatoboa ..... Bila hvyo utaishia Kula mahindi ya kuchoma [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sio kwa kiba aseeh. Poleeeeh.
 
Nilikua nakuvizia comment yako mwenye MAHABA YA DHATI na WCB, nilijua tu mtasema anataka kutrend, vibaya Ali kupenda nyimbo za nasibu nyange au hata kucheza,? Ali amepevuka kiakili, inatufundisha hakuna haja ya kuwekeana ubaya hadi hata nyimbo tushindiwe kuzifurahia sababu ya chuki, maisha yenyewe mafupi..tunasubiria nasibu naye aanze kufurahia nyimbo za Ali , hakuna ubaya wowote na wala sio KIKI
Duh et Nina mahaba na WCB au nacomment kulingana na stuation , hata hvyo WCB ndo wababe wa Mziki hapa nchini right now , hili Jambo linawaumiza Sana na tatizo Wana mziki wenu Wana uwezo mdogo wa kupindua meza... hata huyo konde boy mnayemvimbisha kichwa bado ni zao la WCB , na anachofanya zote ni gene za WCB, na bado anaangukia pua hajafika popote to break out the stability of WCB wasafi,.....Okey back to the topic kati ya Kiba na Mond Nani ni mtu wa kukunja Sana ?? Diamond kacheza nyimbo za Kiba nyingi tuu na clip zipo , na yeye mwenyewe ashasemea ni fan mkubwa Wa Kiba , na anamheshimu Kwa sababu kamtangulia kwenye game , masuala ya kwamba kampiga fimbo sa hv ni mipango ya Mungu tuu, Sawa Sawa na wewe kumzidi life mwalimu wako wa primary ambaye by then alikuwa anakuzid kila kitu , ni mipango ya Mungu Tu ...

Kiba ashakaribishwa kwenye Wasafi festival tena Kwa heshima zote lakini akatolea nje Kwa matusi na kejeli na akadai wasimzoee, ...
Sasa Kati ya Kiba na Mond nan ana chuki na mwenzake ....
Juzi kacheza nyimbo za wasanii wengi lakini issue iliyotambaa kitaa ni yeye kucheza nyimbo za Wasafi , mtu aliyesema wasizoeane leo anacheza nyimbo zao ..ni fresh lakin WCB wamelipokea Kwa mikono miwili na ni mwendelezo wa ishara njema ambayo Diamond aliianzisha japo akaonekana mnafiki....!!!
Kama Kiba angecheza nyimbo za akina whozu na wengine type hyo , nakuapia usingeskia chochote mtaani ..... ndo ujue WCB ukiigusa Tu unatambaaa Kwa Kasi kama Nyoka kwenye nyasi....
 
King kiba Kuna nyimbo kazitoa hivi karibuni ni 🔥
Kuna yupo na Dj sbu
Na hii mpya na Singah
🔥 🔥
 
Back
Top Bottom