Angekua domo wee unge ungevua had chip kusherekeaDuh Tuzo nyingine buana .....mhhhh
haya hongera yake.
Bora umepost maana walivojikausha sijui hawataki azichukue???Lengo tuzibebe zote hizi.
Huko aliko Chibu IVAN alipafanyaje?Kuweka Record sawa hizi tuzo diamond alishinda mwaka jana
Kifupi ni kwamba kiba anapita alipopita diamond platnumz kama kwa jokate
View attachment 438513