Ali Kiba ashinda tuzo za NAFCA na The Nol

Ali Kiba ashinda tuzo za NAFCA na The Nol

geometry

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
466
Reaction score
358
Alikiba ashinda tuzo mbili za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA)

Alikiba ameshinda vipengele viwili kwenye tuzo za heshima kubwa za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA) ambazo hutolewa nchini Marekani.

Tuzo za mwaka huu zilitolewa wikiendi hii kwenye ukumbi wa Alex Theatre of Glendale, huko California. Zilikuwa ni tuzo za 6 na zilionekana katika nchi mbalimbali duniani.

Alikiba ameshinda kipengele cha Favorite Artist of The Year na Favorite Song of The Year. Source: @bongofive
1479914348287.jpg
 
Kwahiyo mnataka tumpongeze..??
 
Hongera yake kijana,tuzo za huyu kijana huwa hawaendi kuzipokea kama yule mwenzake ambavyo hufanya?
 
Haya masela na mashabiki wenzangu wa king kiba tuendelee kuvote na huku.
 
Back
Top Bottom