Ali Kiba ashinda tuzo za NAFCA na The Nol

watu wanatamani simu zao zivunjike screen ili mradi wasione picha za King akiwa na tuzo zake Za kimataifa.

Hizi Tuzo wakipata wao sawa ila akipata Ali wanasema anapita njia za Dimond.

Wamesahau Dimond alipita njia za Kina Blue,Jumbe,Chaz baba,Kanumba,TID kwa Wema Sepetu na

Amepita njia iliyopita watoto watatu kwa Zari ila wapo kimyaaaaa.
 
Ha ha ha ha, u've made my day!
 
tuzo hazikuagi na mvuto kama diamond hayupo kama hizi eatv awards na ukitokea tuzo ni za uchochoro kama hizi sijui instagram awards D ndo hata hatakagi kujipa promo ....

Tuzo bila participation ya diamond zinakuwa hazina mvuto
Anavyomkimbia king mchezo nn hahahaaaa KING akikutana nae tuuu anamnyooosha puuumbav.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…