Ali Kiba atangaza rasmi kuanza ku-follow watu lakini kwa condition hii

Namuelewaga sana Kanye West ana account moja tu twita na kamfollow Kim Kardashian tu.

Back to the topic:
Akaunti ya Kiba insta inanitiaga kichefu chefu...
Afu kiba hanaga matukio , no location no post hata miez kadhaa inaweza pita afu analeta habar za kufollow na kuunfollow?!!
 
Hakika sasa nimeamini na yeye dish limeanza kuyumba kabisa..
Yani ana follow halafu ana unfollow..labda kama umekosea kusikiliza na kuandika pia!

Sasa hapo si sawa na kuchota maji na kuyaweka kwenye chujio au dumu lililo toboka?

Haya mambo ndio yanafanya Alikiba aonekane ni msanii wa ajabu sana na dharau nyingi!

Au amechanganyikiwa?
 
Wewe ni katika macelebrity wa hapa Tanzania?
Yeah mimi ni bonge la celeb... Shule ya za msingi nilizosoma wanafunzi wote wanijua kwa vile nilikuwaga nakuwa wa kwanza. Sekondari ya O level niliyosoma wote wananijua kwa kuwa nilikuwa celeb, A level asilimia kubwa wananijua. Chuoni pale UD niliposoma asilimia kubwa ya wanafunzi wananijua. Kampuni nilizofanya kazi wafanya kazi wote wanajijua. Baadhi ya wateja wetu wananijua, mtaani majirani wananijua. So kwa haraka haraka nafahamika na watu sio chini ya alfu kumi na tano. Hapo mimi sio celeb?
 

Ok mkuu.....Hongera kwa kuwa wa kwanza shule ya msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…