youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
Km ulivyosema"ww ndo mshamba"kumfollow mtu inamaanisha anakuwa na uwezo wa kuona post za fun wake, thats t!!Hivi kuffolow mtu ndio kufanyaje? Au mimi ndio mshamba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Km ulivyosema"ww ndo mshamba"kumfollow mtu inamaanisha anakuwa na uwezo wa kuona post za fun wake, thats t!!Hivi kuffolow mtu ndio kufanyaje? Au mimi ndio mshamba?
Afu kiba hanaga matukio , no location no post hata miez kadhaa inaweza pita afu analeta habar za kufollow na kuunfollow?!!Namuelewaga sana Kanye West ana account moja tu twita na kamfollow Kim Kardashian tu.
Back to the topic:
Akaunti ya Kiba insta inanitiaga kichefu chefu...
Hakika sasa nimeamini na yeye dish limeanza kuyumba kabisa..Akiongea na Xxl ya Clouds fm amesema ndani ya mwezi huu atakuwa anamfollow mtu mmoja mmoja kisha ana muunfollow na ni kwa wachache watakaobahatika...
"Nimeanzisha utaratibu wa kuwafollow washabiki zangu kila wiki itakuwa namfollow mtu mmoja then na unfollow"
Huyo ndio King bhana!!
Inapatikana kwenye kisimbusi gani maana nimekuwa nikiitafuta mimi nina cha Azam!Alikiba TV
Walituambia itakuwa DSTVInapatikana kwenye kisimbusi gani maana nimekuwa nikiitafuta mimi nina cha Azam!
Mimi ninawafollow wale wanaonifollow. Kwangu sina fans its all about friendship. If you give me, I give you. Period.
Yeah mimi ni bonge la celeb... Shule ya za msingi nilizosoma wanafunzi wote wanijua kwa vile nilikuwaga nakuwa wa kwanza. Sekondari ya O level niliyosoma wote wananijua kwa kuwa nilikuwa celeb, A level asilimia kubwa wananijua. Chuoni pale UD niliposoma asilimia kubwa ya wanafunzi wananijua. Kampuni nilizofanya kazi wafanya kazi wote wanajijua. Baadhi ya wateja wetu wananijua, mtaani majirani wananijua. So kwa haraka haraka nafahamika na watu sio chini ya alfu kumi na tano. Hapo mimi sio celeb?Wewe ni katika macelebrity wa hapa Tanzania?
Yeah mimi ni bonge la celeb... Shule ya za msingi nilizosoma wanafunzi wote wanijua kwa vile nilikuwaga nakuwa wa kwanza. Sekondari ya O level niliyosoma wote wananijua kwa kuwa nilikuwa celeb, A level asilimia kubwa wananijua. Chuoni pale UD niliposoma asilimia kubwa ya wanafunzi wananijua. Kampuni nilizofanya kazi wafanya kazi wote wanajijua. Baadhi ya wateja wetu wananijua, mtaani majirani wananijua. So kwa haraka haraka nafahamika na watu sio chini ya alfu kumi na tano. Hapo mimi sio celeb?
Asante. Kwani wewe hujawahi kuwa wa kwanza? Ok, hata tatu bora hujawahi kuingia? What about top ten?Ok mkuu.....Hongera kwa kuwa wa kwanza shule ya msingi
Asante. Kwani wewe hujawahi kuwa wa kwanza? Ok, hata tatu bora hujawahi kuingia? What about top ten?
Sio mbya. Mpoki anadai wanaokuwaga wa mwisho darasani ndio wanakuwaga wa kwanza kwenye maisha... I hope kitaani unafanya poa...Kama unahesabu pia kuanzia mwisho, nishawahi kuwa wa kwanza....Mara kibao tu
Sio mbya. Mpoki anadai wanaokuwaga wa mwisho darasani ndio wanakuwaga wa kwanza kwenye maisha... I hope kitaani unafanya poa...
Hahahahahaha.!!Alikiba TV