Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mfalme atabaki anamiliki roho tu...Sasa hivi amecha kufanya daladala tour ana shughulikia swala la Nyumba.... na kwa sasa karudi kwa kwao na yule dada ana mpango wakuja kumpora vitu vingine alivyo mpa...! Kuna mpango wa kuyamaliza lakini sijui kama hitafanikiwa labda aachane na kidoti!