Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hata jk akipita haiwagi hivonakwambia na magari yangesimama kwa muda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata jk akipita haiwagi hivonakwambia na magari yangesimama kwa muda
Nna Imani sana na chibu katika hizo category tatu lazma tu atafanya kweli
Ale bata wakati analala kwa mama, labda useme yupo anakula mayai ya kwale
Ha ha ha nimemganda utadhani na mie ni mzazi mwenzie king....ahahahahahaaaaaa!!!ahahahaaaa!!yaani we mwanamke umemkalia kooni kingkijino tangu juzi!khaaa!humuachi hata kidogo akapumua mchikichini huko aliko???
Ngoja dawa yako inakuja!cheketua inakuja kukuzimisha nakwambiaaaaaa!
Yani ntakua na raha siku hiyo hata zari hatanifikia....mapemaaa siku ya tuzo asubuhi na mapema naanza na Zanzi + konyagi ku activate mood...,utantumia hela ya thupu?Kati ya wasanii wote barani anachaguliwa chibu dangote ndio aperform na neyo hivi unafikiri mtv watakuwa wajinga kumnyima best live??? hiyo yetu sahivi tunashindania hizo nyingine
Sema mzee wa cheketuawazeeee wa taarabu na mdundiko
Ha ha ha nimemganda utadhani na mie ni mzazi mwenzie king....
kiranja wa zamu, nasimamia kelele ha ha ha
Sema mzee wa cheketua
Nami nlitoaga pongezi kwa king mfyuuu.,..kumbe hata gorofa la mabox hanaahahaaaa!!yaani mungu anajua kulipa!nakumbuka money stunna aliikalia kooni hii ishu ya kiba kumiliki hekalu mpaka watu tukajua kweli nyumba yake kingkijino!
Asalaleeeeh!kumbe baba mpangaji na mbwembwe zile,sasa najiuliza hivi aliyejenga kwenye mkondo wa maji akapata pa kujistiri na king aliyetimuliwa ndai ya hekalu,yupi ananafuu??
Kwani we unaionaje?..bora hata yenyewe ina category, hivi huwa kuna category ya malezi tuvotie songi la mwana liingie?duh et nasema nawe ni taarabu au ni mdundiko semeni mapema kabla kili hawajaiweka kwenye catogory ya bongo fleva msije mkasema mumeonewa haya nijibu Evelyn Salt #kingkiba
Huyo namjua, best male, best live, best colabo.....jibu basi na huyu unamjua ? #kingkiba
Kwani we unaionaje?..bora hata yenyewe ina category, hivi huwa kuna category ya malezi tuvotie songi la mwana liingie?[/QUOTE
Zipo kwenye jaba bhana
Imeamriwa asiitwe king hadi apate nyumba, mfalme gani analala kwa mama ake buanahaki ya mungu hebu niwekeee picha hapa nionee duuu mi sina hizo ripot #king kiba moja hiyo kuna dogo kaiokota itakua kweli lakin
Nami nlitoaga pongezi kwa king mfyuuu.,..kumbe hata gorofa la mabox hana
yule rafiki wa frank gonga anayeishi sweden nafikiri anaitwa fred nice alikuwa anagonga sana mademu kwenye hiyo nyumba ila location yake ni mbaya sana,area inatisha na hilo eneo lina ujambazi sana,hapafai kuishi