Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Ale bata wakati analala kwa mama, labda useme yupo anakula mayai ya kwale

ahahahahahaaaaaa!!!ahahahaaaa!!yaani we mwanamke umemkalia kooni kingkijino tangu juzi!khaaa!humuachi hata kidogo akapumua mchikichini huko aliko???

Ngoja dawa yako inakuja!cheketua inakuja kukuzimisha nakwambiaaaaaa!
 
Attachments

  • 1435348006066.jpg
    1435348006066.jpg
    58 KB · Views: 220
  • 1435348049627.jpg
    1435348049627.jpg
    58.7 KB · Views: 203
ahahahahahaaaaaa!!!ahahahaaaa!!yaani we mwanamke umemkalia kooni kingkijino tangu juzi!khaaa!humuachi hata kidogo akapumua mchikichini huko aliko???

Ngoja dawa yako inakuja!cheketua inakuja kukuzimisha nakwambiaaaaaa!
Ha ha ha nimemganda utadhani na mie ni mzazi mwenzie king....
kiranja wa zamu, nasimamia kelele ha ha ha
 
Kati ya wasanii wote barani anachaguliwa chibu dangote ndio aperform na neyo hivi unafikiri mtv watakuwa wajinga kumnyima best live??? hiyo yetu sahivi tunashindania hizo nyingine
Yani ntakua na raha siku hiyo hata zari hatanifikia....mapemaaa siku ya tuzo asubuhi na mapema naanza na Zanzi + konyagi ku activate mood...,utantumia hela ya thupu?
 
Ha ha ha nimemganda utadhani na mie ni mzazi mwenzie king....
kiranja wa zamu, nasimamia kelele ha ha ha

ahahaaaa!!yaani mungu anajua kulipa!nakumbuka money stunna aliikalia kooni hii ishu ya kiba kumiliki hekalu mpaka watu tukajua kweli nyumba yake kingkijino!

Asalaleeeeh!kumbe baba mpangaji na mbwembwe zile,sasa najiuliza hivi aliyejenga kwenye mkondo wa maji akapata pa kujistiri na king aliyetimuliwa ndai ya hekalu,yupi ananafuu??
 
Nami nlitoaga pongezi kwa king mfyuuu.,..kumbe hata gorofa la mabox hana
 
duh et nasema nawe ni taarabu au ni mdundiko semeni mapema kabla kili hawajaiweka kwenye catogory ya bongo fleva msije mkasema mumeonewa haya nijibu Evelyn Salt #kingkiba
Kwani we unaionaje?..bora hata yenyewe ina category, hivi huwa kuna category ya malezi tuvotie songi la mwana liingie?
 
Huyo namjua, best male, best live, best colabo.....
Afu unajua kama zile tuzo zipo kwenye kabati la vyombo vya mama

haki ya mungu hebu niwekeee picha hapa nionee duuu mi sina hizo ripot #king kiba moja hiyo kuna dogo kaiokota itakua kweli lakin
 
yule rafiki wa frank gonga anayeishi sweden nafikiri anaitwa fred nice alikuwa anagonga sana mademu kwenye hiyo nyumba ila location yake ni mbaya sana,area inatisha na hilo eneo lina ujambazi sana,hapafai kuishi

Frank Gonga ni yule model wa video ya Lady Jaydee ya machozi na Nice ni model mwenzie walikuwa wanaishi wote Marekani nadhani
 
Napangisha nyumba vyumba viwil, sebule na choo ndani.. laki na nusu kwa mwezi
 
Back
Top Bottom