Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,104
Unaishia kuhisi ni wa aina gani? Teh
ahahahaha labda una miguu sita na umefukuzwa kwenye nyumba!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaishia kuhisi ni wa aina gani? Teh
Nipo home sweet home nakula ugali wa shkamoo mama, siku mama akiamka kanuna napiga piga kazi sana mara nilime majani, nimwage maji kwenye pipa nilioshe nijaze tena....sihami nyumbani mie king uweke tu nyumbani mwana usiondokeahahahaha labda una miguu sita na umefukuzwa kwenye nyumba!!
Naona kidoti sahv anampeti peti Instagram....amepost et "sema nini unataka" ningekua mi ndo mfalme nnaeishi kwa mama ningejibu "nyumba baby"
Nipo home sweet home nakula ugali wa shkamoo mama, siku mama akiamka kanuna napiga piga kazi sana mara nilime majani, nimwage maji kwenye pipa nilioshe nijaze tena....sihami nyumbani mie king uweke tu nyumbani mwana usiondoke
Usiku: goodnight mammy I love u....mfalme huyo mmhTeh teh.. bora asingehama kwa mama tungejua anampenda sana mama ake, lakin unahama alafu baadae unarudisha mpira kwa kipa.. not rait
Usiku: goodnight mammy I love u....mfalme huyo mmh
kwa msaada wa watu wa marekani (team ...):A S wink:
Usiku: goodnight mammy I love u....mfalme huyo mmh
Ha ha ha usiniharibie mood mi nasubiri video silali ha ha hamommy: "usisahau kushusha chandarua...."
Ha ha ha usiniharibie mood mi nasubiri video silali ha ha ha
Ha ha ha nini unataka? Unavobilinga ma.... Ndivo mimi nataka taka sanamwenye video mwenyewe sasa hivi mama yake anamsomea bed night story, we lala tu hiyo zenofobic utaangalia kesho.
Ha ha ha nini unataka? Unavobilinga ma.... Ndivo mimi nataka taka sana
Mm najiuliza sana hv jina la king alipewa tu kama sifa au yeye mwenyewe alijiona ana sifa za kuitwa king? Maana naona anachanganikiwa sana anapo ona anapendwa na hawa ma x wa chibu au hajui sifa ya king ni ipi kuhusu wanawake! Kwa kweli kivuli cha chibu kinampa tabu kiba, people let's keep voting for our icon.
Mbona hujanambia tena kuhusu dera?Haaaaaaaa lol
Video tayari? Mi hapa kwangu nna antenna tu ile ya chademaHivi mwaka huu kingi atafuturisha kweli? :A S wink: