Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Mfalme atabaki anamiliki roho tu...
 

Ahahahahaa!!!aahahahahahaa!!!nahisi devotha tayari ameshaenda kumchukua mwanaye
 
Kaeni chonjo wimbo mpya wa mondi unakaribia kutoka. Unaitwa SINGAPORE!
 
Trace TV ni kituo cha TV cha Ufaransa maarufu
kwa burudani ambapo kwa miaka kadhaa sasa
hivi kimeendelea kuchukua watazamaji wapya
wapenda muziki kila siku kutokana na ubora wa
muziki unaopigwa na wao, video kali kutoka kila
kona ya dunia ambapo leo kituo hicho ya
kimesema hizi ndio video 10 bora za Africa
zinazotamba wiki hii zikiwemo za watanzania
wawili (Vanessa Mdee & Diamond Platnumz)
10.Timaya ft Phyno & Deettii- Gbagam
9.Iyanya & Diamond Platnumz – Nakupenda
8.Vanessa Mdee ft K.O – Nobody But Me
7. Mi Abaga - bad melle
6.Runtown -The Banger ft Uhuru
5.Wiz Kid – Expensive Sh*t
4.Davido ft Meek Mill (Fans Mi)
3.YemiAlade ft. phyno
2.Diamond Platnumz ft Mr Flavour – Nana
1.Olamide- Bobo

From Millardayo.com
 

Ile daladala tour nilikuwa najiuliza Diamond angezurura vile mtaani tungekosa hata sehemu za kupita.
 
nyie hpa bishaneni mara ya demu wake or ya frank mwisho wa cku yy ndiyo ajuaye ukweli nyie mtaishia kurukaruka hmu yy saizi anakula zake bta huko hta wacwac hana hya kazi kwenu
 
nyie hpa bishaneni mara ya demu wake or ya frank mwisho wa cku yy ndiyo ajuaye ukweli nyie mtaishia kurukaruka hmu yy saizi anakula zake bta huko hta wacwac hana hya kazi kwenu
Ale bata wakati analala kwa mama, labda useme yupo anakula mayai ya kwale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…