Video tayari? Mi hapa kwangu nna antenna tu ile ya chadema
Tutafuturu home sweet homeMie king'amuzi changu hakina hiyo channel ya TRACE. Nitaitafuta youtube. Lakini bado swali langu, mwaka huu tunafutarishwa kwa maza au kwenye lile daladala? :A S wink:
Huu ni uongo tena wa mchana kabisa. ....kwanza hii nyumba sio ya mdada wa Singapore, nyumba ni ya Frank Gonga(ye anaishi Uingereza), na yeye ndio alimpangisha kiba......mkataba umeisha na kiba anataka kuhama na hakuna kitu kinachoitwa kutimuana sababu Frank na kiba ni marafiki wakubwa sana. ......
Yani hadi size ya boxa ake lazma tujue, ndo u-celebrity wenyewe huo...
Hakuna lishindikanalo mbele ya umbea warumi mwenyewe alishawahi kwenda dirishani kwa wema kuwachungulia wema na diamond lolNdo unajuaje sasa kwa mfano ukitaka kujua hilo?
Hakuna lishindikanalo mbele ya umbea warumi mwenyewe alishawahi kwenda dirishani kwa wema kuwachungulia wema na diamond lol
Mbea east Africa nzima, ha ha ha nlicheka siku hiyo eti alienda dirishani kuwachunguliaahahahahaa!warumi nimemshindwa tabia yule kiumbe wallah tena!!tumchague tu kwa kweli akatuwakilishe bungeni
Tunachojua ni kuwa tuna vote kwa Davido hadi mpate kifafa
Ardhi yote hii bongo bado anaishi nyumba ya kupanga ?
Baba kijacho yupo kwenye category tatu, he is something else...tuzo ya best live anayo tayari tunavotia hizo mbiliNyie ni watu wangapi compared to the people who are voting for Diamond? Wachache sana!! Diamond anapigiwa kura na East Africa nzima meanwhile Davido huko Kenya hawataki hata kumuona. Endeleeni kujipa matumaini hivyo vikura vyenu havina nguvu.
Baba kijacho yupo kwenye category tatu, he is something else...tuzo ya best live anayo tayari tunavotia hizo mbili
wala usiongee mama vote for diamond platnum
Mimi nampigia kura 100 kila category kila siku!
Maskini JOKA, mkosi gani huu, Chibu Kibuti, Hashimu Kibuti, Mr. Bluu Kibuti huyu arudi tu kwa kristu aendelee kuimba bila mwisho .Kwenye ule uzi kuhusu mchumba wa Alikiba nilisema Jokate atamponza sasa yameanza kutimia! Na hiyo haitoshi yule dada lazima aje kuanzisha mtiti hapa nchini na Jokate atafute pa kukimbilia!
Mi navote kura zisizo na idadiMimi nampigia kura 100 kila category kila siku!
Ardhi yote hii bongo bado anaishi nyumba ya kupanga ?
Maskini JOKA, mkosi gani huu, Chibu Kibuti, Hashimu Kibuti, Mr. Bluu Kibuti huyu arudi tu kwa kristu aendelee kuimba bila mwisho .
Bado Mr wa Crdb nae alimpiga kibuti maana ya kuliwa na baba na mwanae