Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Video tayari? Mi hapa kwangu nna antenna tu ile ya chadema

Mie king'amuzi changu hakina hiyo channel ya TRACE. Nitaitafuta youtube. Lakini bado swali langu, mwaka huu tunafutarishwa kwa maza au kwenye lile daladala? :A S wink:
 
Mie king'amuzi changu hakina hiyo channel ya TRACE. Nitaitafuta youtube. Lakini bado swali langu, mwaka huu tunafutarishwa kwa maza au kwenye lile daladala? :A S wink:
Tutafuturu home sweet home
 
Huu ni uongo tena wa mchana kabisa. ....kwanza hii nyumba sio ya mdada wa Singapore, nyumba ni ya Frank Gonga(ye anaishi Uingereza), na yeye ndio alimpangisha kiba......mkataba umeisha na kiba anataka kuhama na hakuna kitu kinachoitwa kutimuana sababu Frank na kiba ni marafiki wakubwa sana. ......

Ardhi yote hii bongo bado anaishi nyumba ya kupanga ?
 
Hakuna lishindikanalo mbele ya umbea warumi mwenyewe alishawahi kwenda dirishani kwa wema kuwachungulia wema na diamond lol

ahahahahaa!warumi nimemshindwa tabia yule kiumbe wallah tena!!tumchague tu kwa kweli akatuwakilishe bungeni
 
Last edited by a moderator:
ahahahahaa!warumi nimemshindwa tabia yule kiumbe wallah tena!!tumchague tu kwa kweli akatuwakilishe bungeni
Mbea east Africa nzima, ha ha ha nlicheka siku hiyo eti alienda dirishani kuwachungulia
 
Tunachojua ni kuwa tuna vote kwa Davido hadi mpate kifafa

Nyie ni watu wangapi compared to the people who are voting for Diamond? Wachache sana!! Diamond anapigiwa kura na East Africa nzima meanwhile Davido huko Kenya hawataki hata kumuona. Endeleeni kujipa matumaini hivyo vikura vyenu havina nguvu.
 
Ebwanaaaeee hili dude la kiba, kila muda unavyozidi naona linazidi kuwa tamu safiiiiiiii sifa kwa kwenda mbele huko youtube
 
Nyie ni watu wangapi compared to the people who are voting for Diamond? Wachache sana!! Diamond anapigiwa kura na East Africa nzima meanwhile Davido huko Kenya hawataki hata kumuona. Endeleeni kujipa matumaini hivyo vikura vyenu havina nguvu.
Baba kijacho yupo kwenye category tatu, he is something else...tuzo ya best live anayo tayari tunavotia hizo mbili
wala usiongee mama vote for diamond platnum
 
hahahaaaaaa what a beautiful lie!
Siku Ally akifukuzwa kwenye nyumba tutamchangia ila si kwa uongo huu meeen!

:hand: :hand: :hand:
 
Chipukizi akitimuliwa sawa maana bado hajajipanga japo yupo kwenye game kwa miaka 17
 
Kwenye ule uzi kuhusu mchumba wa Alikiba nilisema Jokate atamponza sasa yameanza kutimia! Na hiyo haitoshi yule dada lazima aje kuanzisha mtiti hapa nchini na Jokate atafute pa kukimbilia!
Maskini JOKA, mkosi gani huu, Chibu Kibuti, Hashimu Kibuti, Mr. Bluu Kibuti huyu arudi tu kwa kristu aendelee kuimba bila mwisho .
 
Back
Top Bottom