Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Haaaaaaaaa binamu amewafedhehesha team yake

MImi kwenye upumbavu sinaga team kwa kweli, unafiki siuwezagi, watu tumechamba king wetu ana jumba la mil 900 kunduchi beach leo hii tunaambiwa kafukuzwa karudi kariakoo, fedheha gani hii? HUyo kiba atulie na akubali domo kampiga bao basi, maana kutokujikubali nako ni shida na mzigo sana, mi kanikera, nilikuwa namuona matured kumbe bado ana utoto.

Akazane kufanya kazi kwa bidii tu ipo siku atakuwa juu ila sio kwa kutudanganya mashabiki zake
 
Kwenye ule uzi kuhusu mchumba wa Alikiba nilisema Jokate atamponza sasa yameanza kutimia! Na hiyo haitoshi yule dada lazima aje kuanzisha mtiti hapa nchini na Jokate atafute pa kukimbilia!
hivi Jokate si ana contract ya 1 bn sijui ile ya kutangaza mananihii ya makampuni ya watu??

Cant she do something for pity Kibangu?
 
Dah!! Mkuu umefunguka sana. Punguza hasira.
MImi kwenye upumbavu sinaga team kwa kweli, unafiki siuwezagi, watu tumechamba king wetu ana jumba la mil 900 kunduchi beach leo hii tunaambiwa kafukuzwa karudi kariakoo, fedheha gani hii? HUyo kiba atulie na akubali domo kampiga bao basi, maana kutokujikubali nako ni shida na mzigo sana, mi kanikera, nilikuwa namuona matured kumbe bado ana utoto.

Akazane kufanya kazi kwa bidii tu ipo siku atakuwa juu ila sio kwa kutudanganya mashabiki zake
 
mtafuteni kwenye matatuu[/QUOTalii

aliingia kwenye matatuu niliyokuwamo jana mara acheke mara sijui atoe tano mara sjui namba ya simu sasa nikajiuliza kwan msanii kupanda matatuu ni ajabu mbna tonny blair alikuwa akienda kazin kwa baiskel?....niliuchuna sana sikutaka kumwangalia

Hahaha ile idea ya kushukuru watu kwa kupanda daladala sijui nani kamshauri kwa kukurupuka huyu king noma. Mashabiki wanashukuriwa kwa Kibao kipya kikali sio kupanda daladala kutoa tano na kucheka cheka tu.
 
Tatizo lake ndani ya mwaka mzima anatoa nyimbo moja tu,wacha wampige gepu wenzake.

mkuu kiba anapaishwa na diamond,lakin yeye hafaham hilo,na kama angekuwa na management nzur angetumia huko kupaishwa na kujitangaza kimataifa zaid na si ndani zaid
 
Yaani we unaamini hiyo nyumba ya mwanamke? Hiyo nyumba frank kaanza kuijenga miaka ya 2000 wkt yupo clouds. ....tumefanya sana bbq hapo. ...waulize wasanii wote wakubwa hapo bongo pamoja na watangazaji wa clouds kama unawajua watakwambia nyumba ya nani. ......ningeweka picha lkn hii thread sio ya mshkaji (frank)

Mmh sasa wewe unayekuja kutetea lini ulisikia Frank kajenga nyumba na pesa yake eti alipokuwa clouds duh . Sijui ni nyumba ipi? waliyonayo moja kama wameongeza au no, ila nyumba ya tangu miaka hiyo ilijengwa na MKE wa Frank acha kupaisha mwanaume mwenzako, nyumba yenyewe hadi akaanza kuishi na wanawake wengine akiita yake sababu mkewe anaishi UK. Na sidhani kama mkewe ana hamu hiyo ya kuongeza kujenga kwa sasa maana duh.Wakati walioana mkewe akamvuta kwenda nje UK akaenda akawa kicheche na kuzani kila naniii ndio maisha kwa kuchepuka. Now kajifunza kaanza kutulia kwenye ndoa tena.

Huyo Kiba kwanza alidai nyumba hiyo yake, aliposema amevamiwa na majambazi akidai yake ndio ukweli ukatoka kuwa amepanga hiyo ni mwaka huu. Ila uongo mwingine noma unatia nishai sana
 
Mi hoja yangu ni kuwa nyumba ni ya Frank. ....frank namjua kitambo na tupo wote UK. ...toka anajenga hiyo nyumba mpk next month anakuja bongo kuikarabati

Rusha picha ionekane basi
 
Back
Top Bottom