Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

Haaaaaaaaa binamu amewafedhehesha team yake

MImi kwenye upumbavu sinaga team kwa kweli, unafiki siuwezagi, watu tumechamba king wetu ana jumba la mil 900 kunduchi beach leo hii tunaambiwa kafukuzwa karudi kariakoo, fedheha gani hii? HUyo kiba atulie na akubali domo kampiga bao basi, maana kutokujikubali nako ni shida na mzigo sana, mi kanikera, nilikuwa namuona matured kumbe bado ana utoto.

Akazane kufanya kazi kwa bidii tu ipo siku atakuwa juu ila sio kwa kutudanganya mashabiki zake
 
Kwenye ule uzi kuhusu mchumba wa Alikiba nilisema Jokate atamponza sasa yameanza kutimia! Na hiyo haitoshi yule dada lazima aje kuanzisha mtiti hapa nchini na Jokate atafute pa kukimbilia!
hivi Jokate si ana contract ya 1 bn sijui ile ya kutangaza mananihii ya makampuni ya watu??

Cant she do something for pity Kibangu?
 
Dah!! Mkuu umefunguka sana. Punguza hasira.
 
 
Tatizo lake ndani ya mwaka mzima anatoa nyimbo moja tu,wacha wampige gepu wenzake.

mkuu kiba anapaishwa na diamond,lakin yeye hafaham hilo,na kama angekuwa na management nzur angetumia huko kupaishwa na kujitangaza kimataifa zaid na si ndani zaid
 

Mmh sasa wewe unayekuja kutetea lini ulisikia Frank kajenga nyumba na pesa yake eti alipokuwa clouds duh . Sijui ni nyumba ipi? waliyonayo moja kama wameongeza au no, ila nyumba ya tangu miaka hiyo ilijengwa na MKE wa Frank acha kupaisha mwanaume mwenzako, nyumba yenyewe hadi akaanza kuishi na wanawake wengine akiita yake sababu mkewe anaishi UK. Na sidhani kama mkewe ana hamu hiyo ya kuongeza kujenga kwa sasa maana duh.Wakati walioana mkewe akamvuta kwenda nje UK akaenda akawa kicheche na kuzani kila naniii ndio maisha kwa kuchepuka. Now kajifunza kaanza kutulia kwenye ndoa tena.

Huyo Kiba kwanza alidai nyumba hiyo yake, aliposema amevamiwa na majambazi akidai yake ndio ukweli ukatoka kuwa amepanga hiyo ni mwaka huu. Ila uongo mwingine noma unatia nishai sana
 
Mi hoja yangu ni kuwa nyumba ni ya Frank. ....frank namjua kitambo na tupo wote UK. ...toka anajenga hiyo nyumba mpk next month anakuja bongo kuikarabati

Rusha picha ionekane basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…