Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmiliki wa hii nyumba ni yule mchumba wake King Alikiba na chanzo cha kufukuzwa kwenye hiyo nyumba ni Alikiba kuonekana na Jokate na kusemekana wana uhusiano!
kuna thread nilisoma humu kuna mtu alitaka kuanzisha harambee kumchangia baba ake Diamond,nafikiri ni busara kuanza harambee ili watoto wa huyu King wasilale nje!
Baba samira huyo sijui atakua japan yupo kimya.... Matola ile hela imepata kazi inahitajikakuna thread nilisoma humu kuna mtu alitaka kuanzisha harambee kumchangia baba ake Diamond,nafikiri ni busara kuanza harambee ili watoto wa huyu King wasilale nje!
Na hivi king kakuvuruga basi una hasira mwenyewe ha ha ha pole binamuEbu nisadie, maana mijitu mingine ni migumu kuelewa sijui ipoje mxieww
Kwa kua king kapata emergency zingetumika zile pesa alizochangiwa baba chibu....
upendo daima:spy:
Wanawake tukiamua tunaweza, tumemsapoti kapata tuzo, tumempangishia nyumba, na tunaahidi kumuhifadhi kwa kipindi hiki....natoa laki tena imejensi imeangukia tarehe zenyewe shemeji atakua anakaribia kutuwezeshaTumsaidie huyu kijana
Anaishi kwa women empowerment/support