samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Kenyewe kalisema la Hashimu thabiti ndo lilimkolea sasa sijui cha huyu king wa machizi kama hakimpwelepwetiahahahahaa!!na kingkijino na yeye atamwacha!sijui atakimbilia wapi jamani!poor her!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenyewe kalisema la Hashimu thabiti ndo lilimkolea sasa sijui cha huyu king wa machizi kama hakimpwelepwetiahahahahaa!!na kingkijino na yeye atamwacha!sijui atakimbilia wapi jamani!poor her!!
Kenyewe kalisema la Hashimu thabiti ndo lilimkolea sasa sijui cha huyu king wa machizi kama hakimpwelepweti
View attachment 263138
Nyumba anayoishi Ali Kiba,Kunduchi. (Picha kwa hisani ya Millard Ayo)
Ali Kiba ametimuliwa katika nyumba ambayo alipewa aishi maeneo ya Kunduchi, Dar es Salaam na mmiliki wa nyumba hiyo ambaye ni mwanadada anayeishi nchini Singapore.
Chanzo: E-FM Radio (muda huu)