Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Tangu lini?
Inaonekana una hekima mkuu[emoji122]Kumpenda sana Diamond haifai kuwa sababu ya kumchukia sana Ali Kiba.
Wewe mwanaume ulifungua thread hapa kuwa ukipeana mkono na mtu lazima utatafuta maji na sabuni unawe mikono ndiyo uweze kuendelea na shuhuli zako huna jeuri ya kumuita mtu shoga eti kwasababu tu amevaa pensi.
Huyu hapa Diamond kachojoa kabisa ila mimi sidhani kama ni shoga.
Kumpenda sana Diamond haifai kuwa sababu ya kumchukia sana Ali Kiba.
Wewe mwanaume ulifungua thread hapa kuwa ukipeana mkono na mtu lazima utatafuta maji na sabuni unawe mikono ndiyo uweze kuendelea na shuhuli zako huna jeuri ya kumuita mtu shoga eti kwasababu tu amevaa pensi.
Huyu hapa Diamond kachojoa kabisa ila mimi sidhani kama ni shoga.
NahisiHa ha ha jamaa kama bwabwa flani hivi
doh mkunyenge umemkubali
Hicho kinaitwa kipedo cha kiume haf yeye ni komando kipensi Wa bongoOya ' Team Kiba ' mliojazana humu JF hivi huyu ' Mtu ' wenu Watu / Masela ' hawatelezi ' nae kweli katika ' tope ' la asili?
Sidhani, ana watoto huyu jamaa anajaza darasa zimaHuyo juma sijui... si anaonekana mpunga kabisa
Hakuna cha ustar hapo hiyo nikubrainwash society tu vaa hivo wewe haf ukatizekatize uswahilini kwenu uone kama ni kawaida hahaaawatanzania tuna kazi kwakweli..hapo angevaa drake msingeongea haya maneno ya ajabu...huyo ni star si level yako unaehate...star anavaa kwakuwa anataka kumake attention kwa watu....wabongo inabidi tubadili mindset zetu kwakweli
Mtu wetu hawatelezi naye....ila huyo wenu mbona sana tuu....check hapo alivyokuwa anamwalika juma nyosso...ahahahhahaOya ' Team Kiba ' mliojazana humu JF hivi huyu ' Mtu ' wenu Watu / Masela ' hawatelezi ' nae kweli katika ' tope ' la asili?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji115]Huwezi jua labda wahuni wanafanya yao