Ali Kiba awavunja mbavu Clouds Media kwa Kipensi cha ajabu alichovaa

Ali Kiba awavunja mbavu Clouds Media kwa Kipensi cha ajabu alichovaa

Uzee unaniijia vibaya nimeona picha bila kusoma vizuri nikafikiri yule Dada alishikwa weekend
 
wasanii wetu wa kitanzania wasipo dhibitiwa ama wasipo kanywa na kupewa maelekezo sahihi na wizara husika basi watapoteza kabisa maadili na utamaduni wetu sisi watanzania.

wototo wengi vijana na wasichana wanaiga sana kila wanacho kiona kutoka kwa wasanii wetu kiwe kibaya au kizuri hiii ni hatari sana kama wasanii hawatoonywa kuharibu mila na tamaduni zetu!

lazima wizara ya michezo sanaa na utamaduni ihakikishe utamaduni wetu unalindwa tusiache kisingizio cha utandawazi kikavuruga kabisa utamaduni wetu!

wasanii wote wa kitanzania jitambueni eleweni nafasi yenu ktk jamii, ninyinyi ni vioo hivyo jamii inawatazama, badilikeni acheni ulimbukeni, vaeni mavazi yenye staha ktk jamii,wote wasanii wa kike na wakiume.
 
Kumpenda sana Diamond haifai kuwa sababu ya kumchukia sana Ali Kiba.

Wewe mwanaume ulifungua thread hapa kuwa ukipeana mkono na mtu lazima utatafuta maji na sabuni unawe mikono ndiyo uweze kuendelea na shuhuli zako huna jeuri ya kumuita mtu shoga eti kwasababu tu amevaa pensi.

Huyu hapa Diamond kachojoa kabisa ila mimi sidhani kama ni shoga.
27a072417fcb34302d6397a49de5b428.jpg
Inaonekana una hekima mkuu[emoji122]
 
Hatari sana inatisha, hali hii ndiyo maana huku ughaibuni wameanza kuwa na shaka na ''sisi'' kwa mienendo wanayoiona ktk social media za celebrity wa Tanzania. Kuna Dada mmoja amenizoea akaniambia Bwana Kaka ''tunajua'' Tanzania watu wa dizaini za shaka wamejaa ! Sasa naaza kuelewa kwa nini alisema hivyo.
 
Yoo papili papili, tapili boko mchizi wa geto
 
Chaajabu nini kama rafiki yake huyu Mzee wa kupumuliwa Ommy
 
nani kasema kiba shoga?
Kumpenda sana Diamond haifai kuwa sababu ya kumchukia sana Ali Kiba.

Wewe mwanaume ulifungua thread hapa kuwa ukipeana mkono na mtu lazima utatafuta maji na sabuni unawe mikono ndiyo uweze kuendelea na shuhuli zako huna jeuri ya kumuita mtu shoga eti kwasababu tu amevaa pensi.

Huyu hapa Diamond kachojoa kabisa ila mimi sidhani kama ni shoga.
27a072417fcb34302d6397a49de5b428.jpg
 
watanzania tuna kazi kwakweli..hapo angevaa drake msingeongea haya maneno ya ajabu...huyo ni star si level yako unaehate...star anavaa kwakuwa anataka kumake attention kwa watu....wabongo inabidi tubadili mindset zetu kwakweli
Hakuna cha ustar hapo hiyo nikubrainwash society tu vaa hivo wewe haf ukatizekatize uswahilini kwenu uone kama ni kawaida hahaaa
 
Sasa cha ajabu ni nini hapo???

Au mnataka kumpa umaarufu mwingine??

Ni vitu vya kawaida sana hivyo kwenye mazingira ya kisanii
 
Kuna baadhi ya watu wana maneno ya kuudhi sana wanatukana alafu wanaemtukana mwenyew ana maixha mazur kuliko hata ukoo wenu kiujumla hyo ni Nguo kavaa xaxa na ww iga au acha ila kumtuc mtu kana kwamba unamlixha au kwenu mnamlixha nyie
 
Back
Top Bottom