Ali Kiba awavunja mbavu Clouds Media kwa Kipensi cha ajabu alichovaa

Ali Kiba awavunja mbavu Clouds Media kwa Kipensi cha ajabu alichovaa

Kaamua kudhibitisha kuwa yeye ni choko.

Huyu hapa CHOKO mwingine [emoji23][emoji23]
8287311613db333b6615e800a384a720.jpg

Maana mnaendekeza chuki bila kuangalia tawi uliokalia.
 
unadhani alichekwa bure na chakishoga kabisaaa icho tena izo rangi ndo mashoga wanazipendaga
 
Jamii yetu inapaswa kujifunza kuacha watu waishi maisha wayatakayo ili mradi hawavunji sheria tulizoziweka.

Tusijidanganye kwamba tuna utamaduni wetu nk mambo yanabadilika kila kukicha,na mtu hafungwi na tamaduni sehemu yoyote Ile.
 
Kumpenda sana Diamond haifai kuwa sababu ya kumchukia sana Ali Kiba.

Wewe mwanaume ulifungua thread hapa kuwa ukipeana mkono na mtu lazima utatafuta maji na sabuni unawe mikono ndiyo uweze kuendelea na shuhuli zako huna jeuri ya kumuita mtu shoga eti kwasababu tu amevaa pensi.

Huyu hapa Diamond kachojoa kabisa ila mimi sidhani kama ni shoga.
27a072417fcb34302d6397a49de5b428.jpg
Hata huu ni ushoga
 
watanzania tuna kazi kwakweli..hapo angevaa drake msingeongea haya maneno ya ajabu...huyo ni star si level yako unaehate...star anavaa kwakuwa anataka kumake attention kwa watu....wabongo inabidi tubadili mindset zetu kwakweli
Akivaa drake ni sawa coz sio utamaduni wetu ni wa kwao

kuna vitu vya kuiga toka nje Ila sio kila kitu kinapaswa kuigwa

Heavy Weight
 
Back
Top Bottom