Ali Kiba Azidiwa na Zuchu

Ali Kiba Azidiwa na Zuchu

Sumbi Sanchez

Senior Member
Joined
Apr 16, 2017
Posts
100
Reaction score
355
Imefikia mahala Ali Kiba amezidiwa mpaka na Zuchu? Bwana huyo aliachia video yake wiki moja iliyopita na Zuchu akaachia ya kwake siku nne baadae. Lakini mbaka sasa ngoma ya Zuchu 'Litawachoma' ina views milioni 2.1 wakati ya huyo bwana ina 1.9. Anakwama wapi? Yani mpaka kasichana kalichoanza muziki jana tu kanamfunika?
 
Imefikia mahala Ali Kiba amezidiwa mbaka na Zuchu? Bwana huyo aliachia video yake wiki moja iliyopita na Zuchu akaachia ya kwake siku nne baadae. Lakini mbaka sasa ngoma ya Zuchu 'Litawachoma' ina views milioni 2.1 wakati ya huyo bwana ina 1.9. Anakwama wapi? Yani mbaka kasichana kalichoanza muziki jana tu kanamfunika?
Kumbe nawe ni mpenzi wa nyimbo za zuchu
 
Imefikia mahala Ali Kiba amezidiwa mbaka na Zuchu? Bwana huyo aliachia video yake wiki moja iliyopita na Zuchu akaachia ya kwake siku nne baadae. Lakini mbaka sasa ngoma ya Zuchu 'Litawachoma' ina views milioni 2.1 wakati ya huyo bwana ina 1.9. Anakwama wapi? Yani mbaka kasichana kalichoanza muziki jana tu kanamfunika?
Vipi mkuu mzima lakini?
 
Dahh..

Hiviii... On serious note.. Kiba anafeli wapi!??

Tukio hili mimi sijalipenda kabisa...

Je! Tuamini kwamba King Kiba ana fake Fans...!??

Im disturrrbed
 
Zuchu ana jeshi nyuma yake

Hujiulizi account ya instagram ya zuchu imefunguliwa juzi tu haina hata mwaka.. ila zuchu ana followers wengi kuliko maua sama ama ruby mwenye miaka zaidi ya 10 kwenye game
So hao wanafeli wapi!?
 
So hao wanafeli wapi!?

Management mbovu, selfishness, na uvivu ndio sababu ya wasanii wengine kufeli..

WCB imeajiri graduate wa udsm computer science anaitwa kim kyando na ndie anaongoza digital platform za wasanii wa wasafi ana wasaidizi kibao wasomi... hiyo tu inaonesha gap lililopo kati ya wasanii wa wcb na wengine
 
Back
Top Bottom