Ali Kiba Azidiwa na Zuchu

Ali Kiba Azidiwa na Zuchu

Management mbovu, selfishness, na uvivu ndio sababu ya wasanii wengine kufeli..

WCB imeajiri graduate wa udsm computer science anaitwa kim kyando na ndie anaongoza digital platform za wasanii wa wasafi ana wasaidizi kibao wasomi... hiyo tu inaonesha gap lililopo kati ya wasanii wa wcb na wengine
🙌🙌🙌🙌🙌👍👍👍👍👌👌👌👏👏👏👏👏
 
Zuchu ana jeshi nyuma yake

Hujiulizi account ya instagram ya zuchu imefunguliwa juzi tu haina hata mwaka.. ila zuchu ana followers wengi kuliko maua sama ama ruby mwenye miaka zaidi ya 10 kwenye game
Aah halo kwenye miaka zaidi ya kumi umetudanganya kwa kweli
 
Imefikia mahala Ali Kiba amezidiwa mbaka na Zuchu? Bwana huyo aliachia video yake wiki moja iliyopita na Zuchu akaachia ya kwake siku nne baadae. Lakini mbaka sasa ngoma ya Zuchu 'Litawachoma' ina views milioni 2.1 wakati ya huyo bwana ina 1.9. Anakwama wapi? Yani mbaka kasichana kalichoanza muziki jana tu kanamfunika?
Kukimbia shule ndo matokeo haya ya kuaibika mpk mitandaoni, mbaka ndo kiswahili cha vichochoro gani?
 
Ukimaliza tuoneshe bank account yako ina shilingi ngapi ili tujue tunamsikitia vipi Alikiba.
Nioneshe wewe akaunti yako ina sh ngapi ili nione kama kuna umuhimu wa kujibu hoja yako ya kipuuzi.
 
Kukimbia shule ndo matokeo haya ya kuaibika mpk mitandaoni, mbaka ndo kiswahili cha vichochoro gani?
Wewe jiongopee tu. Utakuta mpuuzi kama wewe una kidegree chako cha kipumbavu unadhani eti ndo umepiga shule.
 
Imefikia mahala Ali Kiba amezidiwa mbaka na Zuchu? Bwana huyo aliachia video yake wiki moja iliyopita na Zuchu akaachia ya kwake siku nne baadae. Lakini mbaka sasa ngoma ya Zuchu 'Litawachoma' ina views milioni 2.1 wakati ya huyo bwana ina 1.9. Anakwama wapi? Yani mbaka kasichana kalichoanza muziki jana tu kanamfunika?
Zuchu plus Domo au kipofu..hv Zuchu ana washabiki wake tofauti na wa Domo?
 
Imefikia mahala Ali Kiba amezidiwa mbaka na Zuchu? Bwana huyo aliachia video yake wiki moja iliyopita na Zuchu akaachia ya kwake siku nne baadae. Lakini mbaka sasa ngoma ya Zuchu 'Litawachoma' ina views milioni 2.1 wakati ya huyo bwana ina 1.9. Anakwama wapi? Yani mbaka kasichana kalichoanza muziki jana tu kanamfunika?
Mkuu inaonekana Kiswahili kwako ni tatizo.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom