Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe na mtoa mada, mnafatilia maisha ya mume halali wa Amina kishasema michepuko hataki yupo busy na ndoa, poleni.Hilo ndio salio la acc yako
Kweli jf ina vilaza wengi
Ndio ushangae hahaha kwa kweli inahitaji kujitoa ufahamu uwe shabiki wa WCB,Zuchu plus Domo au kipofu..hv Zuchu ana washabiki wake tofauti na wa Domo?
Music is like sports. There comes a time when those who excelled take the back door. You cannot outshine generations. Zuchu is new generation I cannot imagine you comparing her to Ali Kiba. She is young and talented. Usilinganishe chungwa na ndimu, vina utamu tofauti na ndiyo huo utafauti vinapendwa kwa rldha zao.Imefikia mahala Ali Kiba amezidiwa mbaka na Zuchu? Bwana huyo aliachia video yake wiki moja iliyopita na Zuchu akaachia ya kwake siku nne baadae. Lakini mbaka sasa ngoma ya Zuchu 'Litawachoma' ina views milioni 2.1 wakati ya huyo bwana ina 1.9. Anakwama wapi? Yani mbaka kasichana kalichoanza muziki jana tu kanamfunika?
Bongofleva nayosikiliza ni Roma mkatoliki na Ney tu. Wengine takataka
Kiba hapendi misifa huwa anawadelete viewers wakeDahh..
Hiviii... On serious note.. Kiba anafeli wapi!??
Tukio hili mimi sijalipenda kabisa...
Je! Tuamini kwamba King Kiba ana fake Fans...!??
Im disturrrbed
So hao wanafeli wapi!?
Waberoya Kwani inauuma Nini akibebwa na mondi mbona Rayvanny na pia Harmonize alibebwa mondi Cha msingi Ni bebwa ubebeke mbona Alikiba ana wasanii wake lakini mpaka Leo soko aliwaelewi?We mjinga ona aibu
Diamond ana nguvu na ndio kabeba hiyo timu ya wcb, sio zuchu hauoni aibu???
Ndio maana uliambiwa nenda shule hauelewi????
Zuchu angekuwa hayuko wcb asingekuwa alivyo
Na bado nyimbo za zuch zinafanyiwa adverts
Harmonize aliishafikisha viewers ya mamilioni alipokuwa wcb, leo ana wachache maana ndio anaanza kujenga fanbase yake
Ali kiba ana sub kama laki tatu tu, kuwa na viwers 1.9m sio mchezo
Diamond anao 3m ambao wote ndio wa zuchu kuwa kama ana 2.1m bado wachache sana
Waberoya Kwani inauuma Nini akibebwa na mondi mbona Rayvanny na pia Harmonize alibebwa mondi Cha msingi Ni bebwa ubebeke mbona Alikiba ana wasanii wake lakini mpaka Leo soko aliwaelewi?
Mzee baba hata Alikiba akajiunga na WCB fan base Yake itakuwa Mara dufu lazima ujue Hakuna msanii yoyote hapa bongo ambaye ana fan base wengi zaidi ya WCB so sio ajabu kwa Zuchu kushabikiwa na fans wa WCB hata harmonize si pia alibebwa na WCB Cha msingi hapo Ni msanii kubebeka tu na kweli zuchu ananebebeka matunda yanaonekanaNadhan umeona reaction ya watu wengine pia
Mkikaa vikao vyenu mjue mnaandika post kwa watu wazima
Tanzania ina wanamuziki 1000plus
Hawa wote soko haliwaelewi??
Yaani viwers hata laki sita tu bongea la hit song, mjue hivyo
Kingine naona ushakuwa mtoto wa kuwekea maneno akilini na mdomoni mwa watu
Hakuna mahali watu wameumia, ila kilichoelezwa ni ukweli....zuchu hawezi kuwa na fanbaese kubwa yake yeye ambayo kaitafuta yeye. Hauwezi ukasema nchi hii mpaka vijijini zuchu ni mkubwa kuliko aslay...😂😂 Kuwa ba fanbase ni zaidi ya utube viewers
Mtoe YouTube ya marobot muweke sokoni na Ali uone kama hata jamii haito kusema vibaya kwa kutaka kumpa Zuchu mzigo asio uwezaImefikia mahala Ali Kiba amezidiwa mbaka na Zuchu? Bwana huyo aliachia video yake wiki moja iliyopita na Zuchu akaachia ya kwake siku nne baadae. Lakini mbaka sasa ngoma ya Zuchu 'Litawachoma' ina views milioni 2.1 wakati ya huyo bwana ina 1.9. Anakwama wapi? Yani mbaka kasichana kalichoanza muziki jana tu kanamfunika?
Unakaa iringa sehemu ganiImefikia mahala Ali Kiba amezidiwa mbaka na Zuchu? Bwana huyo aliachia video yake wiki moja iliyopita na Zuchu akaachia ya kwake siku nne baadae. Lakini mbaka sasa ngoma ya Zuchu 'Litawachoma' ina views milioni 2.1 wakati ya huyo bwana ina 1.9. Anakwama wapi? Yani mbaka kasichana kalichoanza muziki jana tu kanamfunika?