πππππππππππππππππManagement mbovu, selfishness, na uvivu ndio sababu ya wasanii wengine kufeli..
WCB imeajiri graduate wa udsm computer science anaitwa kim kyando na ndie anaongoza digital platform za wasanii wa wasafi ana wasaidizi kibao wasomi... hiyo tu inaonesha gap lililopo kati ya wasanii wa wcb na wengine
Aah halo kwenye miaka zaidi ya kumi umetudanganya kwa kweliZuchu ana jeshi nyuma yake
Hujiulizi account ya instagram ya zuchu imefunguliwa juzi tu haina hata mwaka.. ila zuchu ana followers wengi kuliko maua sama ama ruby mwenye miaka zaidi ya 10 kwenye game
Daammnn you!!to ask you...
Kukimbia shule ndo matokeo haya ya kuaibika mpk mitandaoni, mbaka ndo kiswahili cha vichochoro gani?Imefikia mahala Ali Kiba amezidiwa mbaka na Zuchu? Bwana huyo aliachia video yake wiki moja iliyopita na Zuchu akaachia ya kwake siku nne baadae. Lakini mbaka sasa ngoma ya Zuchu 'Litawachoma' ina views milioni 2.1 wakati ya huyo bwana ina 1.9. Anakwama wapi? Yani mbaka kasichana kalichoanza muziki jana tu kanamfunika?
mpk ni nini .. !?Kukimbia shule ndo matokeo haya ya kuaibika mpk mitandaoni, mbaka ndo kiswahili cha vichochoro gani?
And when you mention a language you start with a capital L...Kukimbia shule ndo matokeo haya ya kuaibika mpk mitandaoni, mbaka ndo kiswahili cha vichochoro gani?
L ... I mean LETTER.And when you mention a language you start with a capital L...
Kiswahili.
Aah halo kwenye miaka zaidi ya kumi umetudanganya kwa kweli
Nioneshe wewe akaunti yako ina sh ngapi ili nione kama kuna umuhimu wa kujibu hoja yako ya kipuuzi.Ukimaliza tuoneshe bank account yako ina shilingi ngapi ili tujue tunamsikitia vipi Alikiba.
ππππDah.We mjinga sana Yani unamfananisha kiba na huyo kinuka mkojo
Kaka/Dada wewe uliye busy sana umetoa wapi muda wa kufungua hii post? Na zaidi ukapata na muda wa kucomment?!vijana wenzangu huu muda mnapata wapi?
Afadhali wewe uliyekosoa makosa ya kisarufi na kuachana na maudhui.Mengine hayanihusu, siyo 'mbaka' ni 'mpaka'.!
Wewe uliyekuja hapa umekuja kuongelea nini dada etu?Basi acha upimbi wa kuongelea wanaume waliokuzidi maisha....
Naongea na wewe unayenusa nusa maisha ya mwanaume na kuja kutuuliza maswali ya kiboya,Wewe uliyekuja hapa umekuja kuongelea nini dada etu?
Wewe jiongopee tu. Utakuta mpuuzi kama wewe una kidegree chako cha kipumbavu unadhani eti ndo umepiga shule.Kukimbia shule ndo matokeo haya ya kuaibika mpk mitandaoni, mbaka ndo kiswahili cha vichochoro gani?
Kiba anawaficha viewers wake si unakua hapendi shoo off
Zuchu plus Domo au kipofu..hv Zuchu ana washabiki wake tofauti na wa Domo?Imefikia mahala Ali Kiba amezidiwa mbaka na Zuchu? Bwana huyo aliachia video yake wiki moja iliyopita na Zuchu akaachia ya kwake siku nne baadae. Lakini mbaka sasa ngoma ya Zuchu 'Litawachoma' ina views milioni 2.1 wakati ya huyo bwana ina 1.9. Anakwama wapi? Yani mbaka kasichana kalichoanza muziki jana tu kanamfunika?
Mkuu inaonekana Kiswahili kwako ni tatizo.Imefikia mahala Ali Kiba amezidiwa mbaka na Zuchu? Bwana huyo aliachia video yake wiki moja iliyopita na Zuchu akaachia ya kwake siku nne baadae. Lakini mbaka sasa ngoma ya Zuchu 'Litawachoma' ina views milioni 2.1 wakati ya huyo bwana ina 1.9. Anakwama wapi? Yani mbaka kasichana kalichoanza muziki jana tu kanamfunika?