Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
‘Kings Music ni kama chuo, vijana nilikuwa naishi nao kama ndugu zangu, tumefundishana palipokuwa pana upungufu, nadhani now wamejiona wamehitimu wakaamua kuondoka.’
‘Walinifuata jana usiku saa 8 kasoro, wakaniambia walichotaka, nikawaambia kila la kheri. Saa 10 wakapost kwamba wamejiondoa kwenye Label.” AliKiba kuhusu wasanii waliojitoa.
‘Ni kweli niliwekeza pesa nyingi kukuza careers zao, kwangu nilikuwa naona kama nawasaidia wadogo zangu wa damu. Sikuwahi kuwaza kuwafunga na mikataba kwa namna ambavyo tulikuwa tunaishi sana. Nawataki kila la kheri popote waendapo.” - AliKiba on CloudsTv