Ali kiba azungumzia suala la Cheed na Killy kujitoa Kings Music

madogo wameona hakuna vision wakasepa, kama alikua anawasaidia kiroho safi kwa ukubwa wake kiba wangekua mbali mno, kama kashindwa kumkuza kisanaa ndugu yake abdu kiba unategemea nini?? leo hii zuchu ana wiki na amemzidi subscriber abdu kiba ambae ana miaka rundo kwa game hii ni aibu kwa kiba+mawingu+e media+fans viswaswadu wao.
Kwin dalini amekuzwaje kisanaa na ndugu yake Diamond, au unaropoka tu
 
Hao walikuwa wanapewa asilimia ngapi,manake wewe unajua mpaka asilimia wanazopewa wasanii wa WCB.

Au ilikuwa kama ile style ya wabeba mchanga,mnabeba mchanga,mkishamaliza mnapima badaye mnapewa hela yenu,baada ya hapo pasu pasu.
 
madogo wameona hakuna vision wakasepa, kama alikua anawasaidia kiroho safi kwa ukubwa wake kiba wangekua mbali mno, kama kashindwa kumkuza kisanaa ndugu yake abdu kiba unategemea nini?? leo hii zuchu ana wiki na amemzidi subscriber abdu kiba ambae ana miaka rundo kwa game hii ni aibu kwa kiba+mawingu+e media+fans viswaswadu wao.

Mkuu naomba mfano mdogo tu

Kwa class na standard ya wanamuziki wa Tanzania wote

Abdu kiba unataka afike wapi? How?

Ebu elezea kwa experince yako
 
Back
Top Bottom