Ali kiba azungumzia suala la Cheed na Killy kujitoa Kings Music

Ali kiba azungumzia suala la Cheed na Killy kujitoa Kings Music

Marehemu RUGE aliwahi kusema "kosa kubwa la Muziki wetu ni haupo kibiashara, upo Kijamaa... Na Lengo la kuanzisha clouds media ilikuwa ni kufanya mziki kuwa fursa, kama utafanya mziki mzuri utafaidika, na kama hutafanya hivyo basi usifaidike." mwisho wa kunukuu

WCB wanapita mule mule alipopita RUGE
Ila Anachofanya alikiba ni Ujamaa (pesa sio kipaumbele),, na hao madogo wanataka wapige Pesa.
 
Wangapi tujuane ili twende chuo cha alkiba cha kukuza sanaa, bila kusainishana.

Yoooooo yeeebaba, hapendi show off na pia hataki pesa, ila anataka awe international artist haitokaa iwezekane.

Mwenye picha ya wacheza na majeneza naitafuta jmn, anitag #zuchu

Wacheza na majeneza wametake headlines Sana sa hv😁
 
Alikiba ni msanii safi sana kosa ni kumlinganisha na diamond, na kuilinganisha wasafi na kings music.

Kiba ana hadhi ya kina AY, Fid Q, Juma nature, Mr blue.
Na mtindo wa kings music inaonekana ni ule wa kijamii au kisela au simple tu kama watengwa, east zoo, east coast, wanaume n.K
Wasafi ni brand ya biashara. Hawafanani, ni vile jamii inalazimisha ushindani.
[emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom