Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Marehemu RUGE aliwahi kusema "kosa kubwa la Muziki wetu ni haupo kibiashara, upo Kijamaa... Na Lengo la kuanzisha clouds media ilikuwa ni kufanya mziki kuwa fursa, kama utafanya mziki mzuri utafaidika, na kama hutafanya hivyo basi usifaidike." mwisho wa kunukuu
WCB wanapita mule mule alipopita RUGE
Ila Anachofanya alikiba ni Ujamaa (pesa sio kipaumbele),, na hao madogo wanataka wapige Pesa.
WCB wanapita mule mule alipopita RUGE
Ila Anachofanya alikiba ni Ujamaa (pesa sio kipaumbele),, na hao madogo wanataka wapige Pesa.