Ali kiba azungumzia suala la Cheed na Killy kujitoa Kings Music

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
‘Kings Music ni kama chuo, vijana nilikuwa naishi nao kama ndugu zangu, tumefundishana palipokuwa pana upungufu, nadhani now wamejiona wamehitimu wakaamua kuondoka.’

‘Walinifuata jana usiku saa 8 kasoro, wakaniambia walichotaka, nikawaambia kila la kheri. Saa 10 wakapost kwamba wamejiondoa kwenye Label.” AliKiba kuhusu wasanii waliojitoa.

‘Ni kweli niliwekeza pesa nyingi kukuza careers zao, kwangu nilikuwa naona kama nawasaidia wadogo zangu wa damu. Sikuwahi kuwaza kuwafunga na mikataba kwa namna ambavyo tulikuwa tunaishi sana. Nawataki kila la kheri popote waendapo.” - AliKiba on CloudsTv

 
Alikiba yuko sahii nashangaa watu wanaowaponda awo madogo eti watapotea kwenye game. Utafikiri wao ndo babutale...mzee wa fitina.
 
Hana tamaa pesa kivip? Unajua maana ya mkataba kwanza?
Mnafawafunga watoto wa watu kwa mikataba dhulumati mpaka wauze nyumba zao ili wajitoe. Ninafahamu maana ya contract

a written or spoken agreement, especially one concerning employment, sales, or tenancy, that is intended to be enforceable by law.
 
Alikiba yuko sahii nashangaa watu wanaowaponda awo madogo eti watapotea kwenye game. Utafikiri wao ndo babutale...mzee wa fitina.
King's music sio label ile kutokana na maelezo yake na inaonesha jamaa alikurupuka kuanzisha king's music
 
Mnafawafunga watoto wa watu kwa mikataba dhulumati mpaka wauze nyumba zao ili wajitoe.
Labda wewe uwezo wako wa elimu ni mdogo au hujawahi kufanya kazi kwenye makampuni, wazungu wanasema " Contract is agreement by the parties enforcement by law" Mkataba hausisishi upande mmoja Bali unahuusisha pande mbili zilizokubaliana sasa hapo udhurumaji unatoka wapi ni rahisi kuibiwa ikiwa huna mkataba ila sio ukiwa na mkataba.
 
Nimesoma mpaka darasa la pili B. Asante kwa kunielimisha shost
 
madogo wameona hakuna vision wakasepa, kama alikua anawasaidia kiroho safi kwa ukubwa wake kiba wangekua mbali mno, kama kashindwa kumkuza kisanaa ndugu yake abdu kiba unategemea nini?? leo hii zuchu ana wiki na amemzidi subscriber abdu kiba ambae ana miaka rundo kwa game hii ni aibu kwa kiba+mawingu+e media+fans viswaswadu wao.
 
Alikiba ni msanii safi sana kosa ni kumlinganisha na diamond, na kuilinganisha wasafi na kings music.

Kiba ana hadhi ya kina AY, Fid Q, Juma nature, Mr blue.
Na mtindo wa kings music inaonekana ni ule wa kijamii au kisela au simple tu kama watengwa, east zoo, east coast, wanaume n.K
Wasafi ni brand ya biashara. Hawafanani, ni vile jamii inalazimisha ushindani.
 
Jamaa ana mihela ila hapendi show off,kawekeza hela kwao hataki faida.Ngoja na mimi nimpeleke mwanangu chuo cha Kings manake kings sasa hivi sio label bali ni Charity organization.

Jamaa kamaind ila anakaza afanyeje,muda utaongea na kuna siku atatapika nyongo kama sio yy basi wale madogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…