Ali Kiba badilika

Ali Kiba badilika

Zumbe Kimweru

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2014
Posts
340
Reaction score
27
Unapozungumzia wasanii wenye vipaji vya kutisha nchini Tanganyika huwezi kusita kumtaja kijana huyu Ally kiba.

Ni msanii mwenye mvuto , sauti nzuri na haiba yake, siwezi hata siku moja nikamfanisha na msanii yeyote hapa nchini aidha wakike au kiume.

Ali kiba ametimiza vigezo vyote vya msanii hasa zile ABCDE ambazo baadhi ya wasanii hawana kama vile appearance,body structure wakati huo huo wenzako BCDE hawana wanaroga.

Lakini usipoangalia kwa tabia yako ya kupenda kupambana na wasanii wapumbavu hii itakuangusha .

Unaaminika kuwa kijana mwenye nidhamu ya kazi, mwenye haiba njema mbele ya jamii si uhuni wa unao pambana nao, jijengee heshima kubwa mbele jamii hii itakufanya kuonekana bora mbele ya jamii na chukulia mfano nina nani katika jamii mwenye akili ambaye aweza nunua product ya diamond hata boksa huogopa kutoka na tabia zake lakini wewe hata ukitengeza perfume watu rika zote waweza kufanya biashara.

Nakushauri jenga maono ya mbali nasi hapa wewe ni utambulisho wa muziki wa Tanganyika, jenga heshima kubwa mbele ya jamii wala usikubali mtu aharibu kwa kibweta cha siku moja au umaarufu wa wiki 3 magazetini.

Usikubali kabisa uandikwe kwa vitu vya kipuuzi visivyo na tija mbele ya jamii jihakikishie mwonekano wa asili ya mwafrika. Jitumee badala ya kujenga hisia kwa unarogwa, jiweke mbali na mbali na wasanii wakike wenye sifa chafuu hao si watu wakushirikiana nao.

Mwisho jali kazi kuliko wanawake, tunakutegemea.

Weekend njema
 
Ninampenda diamond Ila hainifanyi nikatae ukweli kwamba Ali kiba ni next level kuanzia muonekano, ukomavu,sauti n.k. ila Kila mtu afanye yake bif Hazina maana.
 
Music in Tanzania is dead. Hivi what's happened to Vijana Jazz type of music?
 
huyo mleta mada atakua ametumwa c bure hv unapenda mashindano sana kila cku ki
ba mara diamond hao ndio celebritiez peke yao kwel nimeamini bifu za wasanii husababishwa na fans wao
ww bila shaka utakua unamwonea wivu diamond
 
huyo mleta mada atakua ametumwa c bure hv unapenda mashindano sana kila cku ki
ba mara diamond hao ndio celebritiez peke yao kwel nimeamini bifu za wasanii husababishwa na fans wao
ww bila shaka utakua unamwonea wivu diamond

hivii kunasehem kamtaja diamond???? mbonaaa kama vilee uzi umebase kwa kibaa
 
kama ni posti ya kiba kamtaja diamond wa nini??? hivi diamond atawatoa povu hivi mpaka lini?hamuwezi kumsifia kiba bila kumtumia diamond, this means maisha ya kiba bila diamond hakunagaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom