Ali Kiba badilika

Ali Kiba badilika

We kila kitu unajifanya unajua lakini ni bonge la mshamba tu

Jaman nimekupendaje?like haijatosha nikaona bora nikuambie tu.....ahsante umenikomeshea huyo mshamba
 
Hahaha.mkubali mkatae dangote mbunifu kijana anajua soko la music linataka nn.anatoa nyimbo za kuchezeka thats y anatisha.
 
Acha mambo ya kijinga wewe unaponda hivi hapo hapo unafanya hivi...

Kama huna kazi jichezee nafsi yako mnfsssssssss

I don't understand you creepy, but whatever you say I don't miss anything.
 
I don't understand you creepy, but whatever you say I don't miss anything.

Kwenda zako loser mkubwa wewe nakuona Sana unaleta habari za shombo humu unamsema warumi hapo hapo unashinda humu huku ukichangia shombo zako unadhani utakuza jina?

Visinoko Kama nyinyi kwetu tunawapaka ute mtoto Wa kiume unakua Kama dagaa Kamba..
 
Back
Top Bottom