Ali Kiba bado hajakoma tu, aendeleza kiburi chake.

Well said bruh
 
Binadamu akishakufa hata asipozikwa hana thamani tena!Anakuwa hajitambui mkuu,wasanii wenzake wasipoenda kitatokea nini?Kuzika unapata thawabu na usipozika hupati Dhambi!Marehemu baba yangu aliwahi kuniambia kila mtu na mzikaji wake!Unaweza kuwa na mtu karibu mpaka anakufa lakini kama hujapangiwa kumzika hautamzika!Wasanii Sana sana mkimuacha atawanukia!
 
Mbona wewe umejitenga na sisi wanaume wenzako na kuchagua kuwa shosti na mpenda umbeya lakini bado hatujakutenga
 
huenda we ndio ukawa hujui kinachoendelea ,vitu vingine sio mpaka mtu aposti ,kiba kuna ngoma ya pa1 alifanyaga na zillah inaitwa milele so sidhani kama msiba huu utakua haujamgusa kwa namna moja au nyingine..
Kufanya ngoma sio Ishu mzee.. Ishu jamaa anajikutaga kavu sanaa kwenye misiba ya wengine kutokea ni mara chache...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndugu yangu siku nyingine jitaidi kuwa mvumilivu yasije yakakukuta ya steve nyerere Mmeambiwa mjifunze kuwa na akiba ya maneno. Muombe Mungu akupe busara na hekima
 
Kwani hao wasanii wasipomzika hatozikwa? Au wakimzika ndio tiketi ya kwenda mbinguni?

Kaamua kujitenga na unafiki hivyo muache.
 
ndugu yangu siku nyingine jitaidi kuwa mvumilivu yasije yakakukuta ya steve nyerere Mmeambiwa mjifunze kuwa na akiba ya maneno. Muombe Mungu akupe busara na hekima
Wambea huwa hawayajui hayo, itakuwa kashrink piriton ina nafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…