Ali Kiba bado hajakoma tu, aendeleza kiburi chake.

Ali Kiba bado hajakoma tu, aendeleza kiburi chake.

Akiba ya maneno ni muhimu sana katika maisha
Screenshot_20190213-133223.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwahyo wewe umekaa tuu unamfatilia alikiba atasema nn kwnye msiba wa godzila je kama hana bando au hayuko online muda huu??? Je umefika eneo la msiba umemkosa na akat msiba umetokea leo usiku so subiri mpka waje wazike na wewe uhudhurie mazishi ndo uje ulete huo uzi otherwise usifatilie mambo ya wanaume wenzio mkuu
Well said bruh
 
Binadamu akishakufa hata asipozikwa hana thamani tena!Anakuwa hajitambui mkuu,wasanii wenzake wasipoenda kitatokea nini?Kuzika unapata thawabu na usipozika hupati Dhambi!Marehemu baba yangu aliwahi kuniambia kila mtu na mzikaji wake!Unaweza kuwa na mtu karibu mpaka anakufa lakini kama hujapangiwa kumzika hautamzika!Wasanii Sana sana mkimuacha atawanukia!
 
Huyu jamaa wasanii wenzake walimtenga kipindi kile alichofiwa na baba yake mzazi kwa sababu na yeye huwa hajishughulishi na wasanii wenzake kwenye misiba.

Sasa wasanii wenzake walimtenga ili wampe funzo ,hawakujishughulisha na chochote wala kumpa pole lakini jamaa bado funzo halijamuingia tu.

Wasanii wengi sana kwa namna moja au nyingine wameonesha kwa kiasi kikubwa kuguswa na msiba wa Godzilla lakini Ali Kiba amejifanya kama hajui kinachoendelea.

Kwa anayoyafanya sitashangaa siku akifa halafu wasanii wenzake wakagoma kumzika.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wewe umejitenga na sisi wanaume wenzako na kuchagua kuwa shosti na mpenda umbeya lakini bado hatujakutenga
 
huenda we ndio ukawa hujui kinachoendelea ,vitu vingine sio mpaka mtu aposti ,kiba kuna ngoma ya pa1 alifanyaga na zillah inaitwa milele so sidhani kama msiba huu utakua haujamgusa kwa namna moja au nyingine..
Kufanya ngoma sio Ishu mzee.. Ishu jamaa anajikutaga kavu sanaa kwenye misiba ya wengine kutokea ni mara chache...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndugu yangu siku nyingine jitaidi kuwa mvumilivu yasije yakakukuta ya steve nyerere Mmeambiwa mjifunze kuwa na akiba ya maneno. Muombe Mungu akupe busara na hekima
 
Kwani hao wasanii wasipomzika hatozikwa? Au wakimzika ndio tiketi ya kwenda mbinguni?

Kaamua kujitenga na unafiki hivyo muache.
 
ndugu yangu siku nyingine jitaidi kuwa mvumilivu yasije yakakukuta ya steve nyerere Mmeambiwa mjifunze kuwa na akiba ya maneno. Muombe Mungu akupe busara na hekima
Wambea huwa hawayajui hayo, itakuwa kashrink piriton ina nafuu.
 
Back
Top Bottom