Huyu jamaa wasanii wenzake walimtenga kipindi kile alichofiwa na baba yake mzazi kwa sababu na yeye huwa hajishughulishi na wasanii wenzake kwenye misiba.
Sasa wasanii wenzake walimtenga ili wampe funzo ,hawakujishughulisha na chochote wala kumpa pole lakini jamaa bado funzo halijamuingia tu.
Wasanii wengi sana kwa namna moja au nyingine wameonesha kwa kiasi kikubwa kuguswa na msiba wa Godzilla lakini Ali Kiba amejifanya kama hajui kinachoendelea.
Kwa anayoyafanya sitashangaa siku akifa halafu wasanii wenzake wakagoma kumzika.
Sent using
Jamii Forums mobile app