Ali Kiba bado hajakoma tu, aendeleza kiburi chake.

Nnachofahamu Alikiba ana athari ya uislam ndani yake.. kwa elimu yangu ndogo ya kiislam.. si sahihi ku post picha za marehemu au kuongelea sana habari za marehemu.. nadhan hata msiba wa baba ake haku post picha
 
Zilla aliwahi kusema wasanii wanasapotiana tu kwa kupost mtandaoni lakini katika maisha halisi hawapeani sapoti kabisa huenda kwa alikiba ni tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Tundi Lissu aliaemaje juu ya hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wakigoma kumzika yeye inamuhusu nini?Yaani unaweka bifu na marehemu ili iweje? Acheni unafiki wa kuogopa vitu vya kufikirika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…