Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuu kama ni kweli alifanya hivyo basi msimlaumu bila shaka yatakuwa ni masharti ya waganga.Mkuu umesahau kipindi cha show ya tigo music pale leaders ambapo jamaa alikataa kuwasalimia wasanii wenzake akiwemo mwana FA ambae walikuwa wamefanya nae kolabo ya kiboko yangu, alafu akamaliza akaruka ukuta akasepa
Kwa kipindi icho nafkir atakuwa anazungumziaCMG wapo wenye 1m followers mkuu,usipotoshe
Umekutana na waya unaozuia radi waya wa earth na huwekea chumvi na mikaa na mipira mvumo wa radi umepotelea ardhiniPoleni sana haters.
Mvumo wa Radi bado unawapiga... lol.
Umeelewa lakini kinachozungumziwa? Kama mkamilifu ni Mungu pekee kitu ambacho ni kweli je mtu akionyeshwa mapungufu yake ili ajirekebishe ni kosa? Kwako wewe hayo aliyoyafanya Kiba ni sahihi na kuambiwa ukweli ni kutaka kumshusha au kumpandisha?Acheni uchawi wenu na timu yenu ya kishetani mnatumia nguvu kumshusha kiba ila hamuwez, kila MTU ana mapungufu yake maana kiba naye kaumbwa kama binadamu yeyote .. Labda tukuulize wewe mtoa mada wewe umekamilika?? Tena inawezekana ikawa afadhali ya kiba kuliko ww ni vile tu hujulikan..Mkamilifu ni Mungu pekee
mkuu mibanid na kaisa ndio mini rekebisha maneno yako right nowMODS PLEASE DON'T MOVE OR MERGE THIS THREAD
INAGHARIMU SHILINGI 0.00 KUWAHESHIMU WATU WENZAKO
Kujiheshimu na kuheshimu wengine ni mmoja ya nguzo kuu katika mafanikio, Hii imedhihirishwa tena baada ya msanii Ali kiba kuwa katika skendo mbali mbali za kudharau watu wengine na kujiona yeye ndio mwamba kitu ambacho kimehaaribu sana muziki wake.
Ikumbukwe ya kwamba Ali Kiba hayupo socially interractive lakini hili pekee sio la kumfanya asiweze kuheshimu wenzake, Naposema huyu hayupo socially interractive ni kwamba sio mtu wa kujichanganya changanya na watu na ndio maana kuna kipindi menejimenti yake ilimwambia ajaribu kupata mashabiki zaidi kupitia kuwa socially interractive, Hatua ya kwanza hii walianza kumfanya Ali Kiba apande dala dala ajimix na watu lakini ilikuwa ni dhahiri kaisa huyu kaka mkubwa alikuwa anavumilia tu kuwemo kwenye dala dala,,,Tizama hapa
Kuna kipindi msanii mwenzake Harmorapa alienda kumpokea airport na alikuwa ame mwandali alikiba t-shirt kaisa lakini unajua kilitokea nini, Unaambiwa ali kiba aliikataa akafunga kioo cha gari ila baada ya muda kidogo inadhaniwa kwamba management yake ilimlazimisha tu aichukue hio t-shirt
Wiki kadhaa zilizopit tulishuhudia live bila chenga msibani, Msanii Diamond alipofika mibanid na kuanza kusalimiana na wenzake kwa heshima ya kupeana mkono kwa mkono hali ilikuwa tofauti kwa Ali kiba ambae alitoa kiganja pale alipopewa mkono wa salamu, Hili tukio lilikuwa ni wazi kabisa kaka braza ana dharau mno
Ali Kiba ni Mswahili na amekulia Uswahilini ila cha ajabu hawezi kuishi Kiswahili.
Kubwa zaidi wanaomzunguka hawampi Ushauri wa kumjenga ama hakubali kushauriwa.
Hivi anapungua nini akijishusha kwa Jamii inayomzunguka ambao ndo Mashabiki zake? Au kuitwa King ndo anaona amemaliza kila kitu?
Bado anahitaji kujifunza zaidi lasivyo atazidi kupoteza Mashabiki zake!
Well Said Bro....Mie huwa napata shida sana mtu unapoacha kazi zako na kuanza kufuatilia maisha na mapungufu ya wenzio. Watu hatuwezi kufanana ila nadhani ni vyema tujikite kuyajua mapungufu yetu na kuyafanyia kazi na kuachana na watu wengine.