Ali Kiba dharau zitakuponza, heshimu kitu cha bure

Kiba kweli anajisikia sana
Alaf ukiangalia
Ni msanii wa kawaida sana sema tuuu ule ushindani na domo ndo unampush sana..

Ka alivyo ray na kanumba kipind kile.
Ray alikua wa kawaida sana sema ushindan ukawa unampandisha baada ya kanumba kufa ray saiv kapotea
Acheni kushindanisha ngoma zake huenda mkaziona kali. Maana mmekalia unafiki na umbea utadhani wanawake.

Mbona kuna wasanii wanaadabu na wanaimba vizuri lakini hamna support wanazopata kutoka kwenu????

Achenu ujinga
 
Ndio maana wasanii wengine wanakua na brand manager.
 
...mi sio shabiki wa mziki. Ila kiba sio flat za diamond. Nyimbo za kiba zishindanishwe na nyimbo za Harmonize. Na bado dogo atampita kwa speed ya mvumo wa radio. Over
 
MODS PLEASE DON'T MOVE OR MERGE THIS THREAD

INAGHARIMU SHILINGI 0.00 KUWAHESHIMU WATU WENZAKO

Kujiheshimu na kuheshimu wengine ni mmoja ya nguzo kuu katika mafanikio, Hii imedhihirishwa tena baada ya msanii Ali kiba kuwa katika skendo mbali mbali za kudharau watu wengine na kujiona yeye ndio mwamba kitu ambacho kimehaaribu sana muziki wake.

Ikumbukwe ya kwamba Ali Kiba hayupo socially interractive lakini hili pekee sio la kumfanya asiweze kuheshimu wenzake, Naposema huyu hayupo socially interractive ni kwamba sio mtu wa kujichanganya changanya na watu na ndio maana kuna kipindi menejimenti yake ilimwambia ajaribu kupata mashabiki zaidi kupitia kuwa socially interractive, Hatua ya kwanza hii walianza kumfanya Ali Kiba apande dala dala ajimix na watu lakini ilikuwa ni dhahiri kaisa huyu kaka mkubwa alikuwa anavumilia tu kuwemo kwenye dala dala,,,Tizama hapa

Kuna kipindi msanii mwenzake Harmorapa alienda kumpokea airport na alikuwa ame mwandali alikiba t-shirt kaisa lakini unajua kilitokea nini, Unaambiwa ali kiba aliikataa akafunga kioo cha gari ila baada ya muda kidogo inadhaniwa kwamba management yake ilimlazimisha tu aichukue hio t-shirt

Wiki kadhaa zilizopit tulishuhudia live bila chenga msibani, Msanii Diamond alipofika mibanid na kuanza kusalimiana na wenzake kwa heshima ya kupeana mkono kwa mkono hali ilikuwa tofauti kwa Ali kiba ambae alitoa kiganja pale alipopewa mkono wa salamu, Hili tukio lilikuwa ni wazi kabisa kaka braza ana dharau mno

Ali Kiba ni Mswahili na amekulia Uswahilini ila cha ajabu hawezi kuishi Kiswahili.
Kubwa zaidi wanaomzunguka hawampi Ushauri wa kumjenga ama hakubali kushauriwa.
Hivi anapungua nini akijishusha kwa Jamii inayomzunguka ambao ndo Mashabiki zake? Au kuitwa King ndo anaona amemaliza kila kitu?
Bado anahitaji kujifunza zaidi lasivyo atazidi kupoteza Mashabiki zake!
Mvumo wa radi
Screenshot_20180515-113534.jpg
 
Hii picha aliopost bdozen kwenye page yake ya insta siku mbili zilizopita na watu wakaihusisha na Diamond team wcb wakarusha maneno na kejeli kwake ila ukiiangalia kwa makini utagundua alikuwa anamaanisha nini
Screenshot_2018-05-16-11-11-54.jpg
 
Acheni uchawi wenu na timu yenu ya kishetani mnatumia nguvu kumshusha kiba ila hamuwez, kila MTU ana mapungufu yake maana kiba naye kaumbwa kama binadamu yeyote .. Labda tukuulize wewe mtoa mada wewe umekamilika?? Tena inawezekana ikawa afadhali ya kiba kuliko ww ni vile tu hujulikan..Mkamilifu ni Mungu pekee
Acha upumbavu nyie ndio mnamuharibia kiba mm sio shabiki wa timu yyte lkn kweli huyo dogo apunguze makuzi waswahili wanasema kiburi si maungwana
 
Hii post naifananisha na yale maneno ya uswahilini usilinge maana hujui nani atakuzika.
Kwangu hai make sense nani atanizika as long nimeshakufa na siwaoni. By the way, mtazika tu maana hamtavumilia harufu ya mzoga. Mkishindwa, manispaa watahusika.
Muacheni Kiba aishi kama yeye, na siyo kama wengine
 
nna tabia kama hii..kiukweli tunapata tabu sana watu wa hivi kwenye jamii..huwa natamani kujichanganya na jamii but huwa nakosa ujasiri..aseeeh sometimes huwa inaniumiza sana
 
Back
Top Bottom