Ali Kiba dharau zitakuponza, heshimu kitu cha bure

Mkuu umesahau kipindi cha show ya tigo music pale leaders ambapo jamaa alikataa kuwasalimia wasanii wenzake akiwemo mwana FA ambae walikuwa wamefanya nae kolabo ya kiboko yangu, alafu akamaliza akaruka ukuta akasepa
Duuu kama ni kweli alifanya hivyo basi msimlaumu bila shaka yatakuwa ni masharti ya waganga.
 
Tatizo mnajigonga sana kwake. Mwacheni kama alivyo
 
Ameshapotea kwenye game huyu!
Dharau zilimponza, zikamponza na bado zimeendelea kumponza!
Mond ni mjanja ndio maana nasema hata akianguka ni rahisi kusimama.
Kiba kwa dharau zake na kujiona amefika pamoja na kujitenga kwake kumemfanya azidi kudidimia siku hadi siku.
Kwanza amenikera sana kukaa karibu mwaka mzima alafu akaja na pambio la ajabuajabu!
 
Kuwa shabiki wa Alikiba inabidi ujitoe ufaham kweli kweli huyo jamaa ana roho ya majivuno na kujiskia kweli kweli alafu anajiita king, sijui king wa nini wakati boya tu

Wenzake washavuka boda huko na makolabo na akina Rick ross, neyo, omarion ye yupo yupo tu na nyimbo zake za kishamba alafu anajiita king, ukiingia ukurasa wake wa instagram hajamfollow hata mtu mmoja, hapo ndio utamjua huyu jamaa ni kiazi, hata kuwafollowa wasanii wenzake hajawafollow, inamaana hana cha kujifunza kwa wenzake
 
Umeelewa lakini kinachozungumziwa? Kama mkamilifu ni Mungu pekee kitu ambacho ni kweli je mtu akionyeshwa mapungufu yake ili ajirekebishe ni kosa? Kwako wewe hayo aliyoyafanya Kiba ni sahihi na kuambiwa ukweli ni kutaka kumshusha au kumpandisha?
Kiba anahitaji mashabiki kuliko mashabiki wanavyomhitaji, ukileta dharau watu watamuona hata Mkaanga Sumu ni bora zaid yako na utabaki na jina lako.
 
M
mkuu mibanid na kaisa ndio mini rekebisha maneno yako right now
 
Mie huwa napata shida sana mtu unapoacha kazi zako na kuanza kufuatilia maisha na mapungufu ya wenzio. Watu hatuwezi kufanana ila nadhani ni vyema tujikite kuyajua mapungufu yetu na kuyafanyia kazi na kuachana na watu wengine.
 
Mie huwa napata shida sana mtu unapoacha kazi zako na kuanza kufuatilia maisha na mapungufu ya wenzio. Watu hatuwezi kufanana ila nadhani ni vyema tujikite kuyajua mapungufu yetu na kuyafanyia kazi na kuachana na watu wengine.
Well Said Bro....
Mtu mishipa ya vidole inamsimama kumsema mwenzie ambae hata hajui kama ana exist...

Mtu sio shabiki wake sasa kinakuuma nini?? pamoja na hayo mapungufu mbona ana wafuasi?

Ngozi nyeusi ina tabu sana.
 
Tabia huwa haina dawa,mnaweza kumlazimisha hiyo tabia mnayoitaka ya kujichanganya ndio akaharibikiwa,bora abakie hivyohivyo..
 
Komaa na mishe zako kwani na ww ukimpotezea kuna tatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…