Umeona eeeeh!
Ebu fikiria verse kama hii unaidadavua mbele ya wanafunzi wakiwemo wale matozi wa darasa....
"we bado mtoto kwa mama hujayajua mengi.
Mwenda tezi na omo marejeo ngamani
Amesema sana mama dunia tambala bovu ee
Kuna asali na shubiri ujana giza na nuru"
Lazima wakune vichwa ati!
Dah shikamoo Kiba!
Watu wamelewa bila kunywa.
Na lile taputapu lilotapikwa juzi ayiii.....hata Ivetta ya Sajna ina uafadhali!
yaani wanaelewa mpaka wanaumwa, marahabaaaaa/ usishangae naitikia kwa niaba
Ally k 4real namkubali sana tungo zke zimesimama pia sauti anayo akipata management nzuri atafika mbali sana,wazee w location kila cku kuimba mapenz 2 n kutafuta kick z kijingajinga
Umeona eeeeh!
Ebu fikiria verse kama hii unaidadavua mbele ya wanafunzi wakiwemo wale matozi wa darasa....
"we bado mtoto kwa mama hujayajua mengi.
Mwenda tezi na omo marejeo ngamani
Amesema sana mama dunia tambala bovu ee
Kuna asali na shubiri ujana giza na nuru"
Lazima wakune vichwa ati!
Dah shikamoo Kiba!
hahaahaaaaa!
ukilewa unajua hata lami unaona ni bahari, hiyo yote ni mwana imewadatisha hata hawajiewi
:violin::clap2::clap2::clap2:
Hongera bibie!
na mpira anajua huyu jembe ucmpmie hata kdogo bnafs nimemuona uwanjan anajua plus mwil wake ulivyo kiargentina twaweza kumuita culo bajo na bueno aires waka2elewa,ila yote kwa yote r kely post yake naic itakata mziz wa fitina mana ndo muhimu kwa wote 2naomjua mix kumkubal mana 2po weng
Na sijui watavaa makoti gani maana tetemeko la mwana si la kuisha kesho wa keshokutwa!
hongera bibie kwa ushindi
mi pia nilikua nawaza km wewe kuhusu mapenzi kiba anaweza kuimba maudhui yote yanayozunguka jamii mfano ya karima,mack muga na huu mwana dsm
jana nlikua home kwetu tukawa tunaongelea kuhusu wasanii akatokea mdogo wangu na mama wote wanampenda kiba nkamwambia b.mkubwa hadi wewee akasema"ndio"
tuko wengi sana
ni ujio wa umri tu busara zinaongezeka, unaweza sometime ukatumia trick za mamba anameza kiumbe uku machozi yanamtoka.
But/lakini ninachokuhakikishia ni kwamba they will dance our song all the time.
kiba vampire level hayo ya kuuliza mbona unakaa kimya muda mref jay moe ndo alisema shabik wa ukwel anaomba picha na sahihi sio anauliza maswal ya kisambinyigwa ambayo jibu lake mwanadsm na ngoma kal kama famous,ila kumdharau m2 aliyesimama kwenye game muongo1 na ushehe yawezekana ukawa ujanja ila upande wangu siwez kuufuata kamwe mana wapo waliochemka kwenye jiko la gesi 2kazania labda kupoa itakuwa ngumu kumbe wap we nenda kamuulze mb dog alikuwa anajiskiaje kwenye show za bure za kpnd kile
jamaa yenu ana wakejeli ana jiita ye ni japan hna shida ya kusaidiwa na watu wenye njaa kwa hiyo walio kua wana shinda humu jamvini kujaza page kisa buku 20 kawa fananisha na nchi ombaomba kama malawi . Waenda likizo mtwara? Salamu kwa chingas wote.
"boon voyage"
Jamani wimbo wa Mwana ni wimbo bora wa mwaka na pia utakua wimbo bora kabisa kupata kutokea katika tasnia ya muziki wa bongo fleva nchini....umeongelea current issue kwa ufasaha kabisa,can't wait kupiga kura kwenye kill music awards mpaka vidole vipasuke na sim itastack....