hahaaa naona huo muswada ungepitishwa kwa kishindo bila kura ya hapana hata moja
hhaaaahaaa achana nao bwana,usiende kushusha hesma yako buure kule kwenye matusi special thread
cjui kapanda treni maana toka aseme yupo safarini hata hafiki, geniverose hebu ukuje huku utumie hilo bando
jana nlikua home kwetu tukawa tunaongelea kuhusu wasanii akatokea mdogo wangu na mama wote wanampenda kiba nkamwambia b.mkubwa hadi wewee akasema"ndio"
tuko wengi sana
umeona eeeeh!
Ebu fikiria verse kama hii unaidadavua mbele ya wanafunzi wakiwemo wale matozi wa darasa....
"we bado mtoto kwa mama hujayajua mengi.
Mwenda tezi na omo marejeo ngamani
amesema sana mama dunia tambala bovu ee
kuna asali na shubiri ujana giza na nuru"
lazima wakune vichwa ati!
Dah shikamoo kiba!
ijumaa nilikwenda kula lunch pale octa's pub kinondoni pembeni ya ubalozi wa france baada ya kushiba tukapata uvivu kuondoka tukaanza mitungi mpaka usiku mkubwa.
Mwanzoni zilikuwa zinapigwa flash back oldies, lakini kilipoingia kiza zilipigwa 3 kali za diamond na za kiba, company yangu hawajui sana mambo ya bongo fleva mimi nikashindwa kujizuia ilipopigwa you are my everthing nikawaambia washkaji hebu msikilizeni kwa makini kiba huyo, mshikaji mmoja ambaye ni mpenzi wa country na regge akaniuliza huyu dogo ndio aliimba na r kelly?
Nilishindwa kumpa jibu maana jamaa hajui lolote kuhusu bongo fleva lakini anajuwa tu kuna dogo anaimba bongo fleva aliimba na r kerry.
Nitarudi namuona mwanasheria mkuu kwe kichupa anadanganya wabunge wacha niende jukwaa la siasa kwanza.
Nitarejea.........
Sasa leo angalieni Nirvana nyie mnaosemaga Kiba anavaa moka ndio muone mitupio yake sio blah blah zenu za vijiweni
Sasa leo angalieni Nirvana nyie mnaosemaga Kiba anavaa moka ndio muone mitupio yake sio blah blah zenu za vijiweni
vp nikupunguzie kifurushi nini?!
Ngoja nicheki siikosi Haya kwa dawa
Naanzaje kuikosa sasa?
Hahahaaa na hakika hakuna atakaependa kukosa kipindi chako!
Bado video,uwiiiiii ikitoka nitakesha JF dadadeki hiyo siku watakoma...
Balaa la Kiba zito. ..kila angle anagusa kwenye nyimbo zake. .ile dushelele ile dah!haikupewa heshima yake ila ni bonge la ngoma!ukiisikiliza karim unaweza ukalia jinsi Kiba anaimba kwa huzuni
We umeutizama kwa upande wa pili kama ninavyoutizama mimi.
Richa ya buruda tunayoipata lakini pia huu wimbo unamlengo muhimu sana.
Asante Kiba kwa kutokukurupuka!
Speaking of Kiri Music Awards....heheh ngoja tu nimezee kwanza!!
ndo nimefika si mnajua mama mwenye nyumba sharti usalimie,ntalitumia effectively
waacheni waite maskini,kapuku,hohehahaheee...yoooote waseme ndo nshachukua hela ya matola,
semeni weee najua wamezaliwa kusema so i dont give a damn about anything...!!!
Wanahashuka tu wanatamani sana kupata ila kkkkhhhhhaaaaa ptuuuuuu washakosa
wapo wapo tu hawana mbele wala nyuma km nyoka wa vichwa viwili vile
wataisoma kaniki japo haina maandishi
wasambinungwa waleeeee....!!!