Ali Kiba Fans' Special Thread...

Sasa leo angalieni Nirvana nyie mnaosemaga Kiba anavaa moka ndio muone mitupio yake sio blah blah zenu za vijiweni

hiviiii!! kuvaa moka na kupaka wanja na kuvaa wigi kipi bora??
 
Balaa la Kiba zito. ..kila angle anagusa kwenye nyimbo zake. .ile dushelele ile dah!haikupewa heshima yake ila ni bonge la ngoma!ukiisikiliza karim unaweza ukalia jinsi Kiba anaimba kwa huzuni

jamani hilo song ni bonge la dude, aiseee haikutendewa haki hata robo ya hadhi yake kabisaaaa
 


Kiba haitambui hadhi yake ananichosha anvyochukulia poa haya mambo wakat yeye ni level nyingine kabisaaaa!! anazubaa mno mpaka watoto wanamdharau sasa, aaaggrrrrr
 
Kiba haitambui hadhi yake ananichosha anvyochukulia poa haya mambo wakat yeye ni level nyingine kabisaaaa!! anazubaa mno mpaka watoto wanamdharau sasa, aaaggrrrrr

Kula likeeee!like like!
 

Umelenga kitaa kabisa mpwa. .pr tena pembeni ya mwanamboka kuna wanangu wanaosha mandinga full kuikubali hii number. .hiyo hood bab!...sipo mzizima week hii narudi Friday ila nimeanza kuchekecha namba zake kiba ili tumsanue asijichukulie kawaida kile kipaji Africa hamna!mwanetu kiba play station sana indoor tatizo
 
Babu chinga kaenda kujikamua atoe kitu cha boga...tumngoje humu akija anachechemea msamba kashauchana

bado anaugulia uchungu wa kukosa bando, kakazana wee ila wapi kitu kikarudi nyumbani, mie burudaaaani
 
Huko kote ni kutafta kiki il a Ali K hafanyi mambo ya kipuuzi na bado ana shine mbaya

i wish Kiba was my son, yaani hata akiwa anaongea handthamu yule ni kwa upolee na ustaarabu wa hali ya juu
 

Ndio maana nashangaa sana huyu dogo sijawahi kumgumia maeneo ya wanamzizima hata kama sharibatiki hatumii basi hata kuuza nyago sometime na wana?

Siku moja nilikuwa club bills kwenye show ya Twanga nilipoingia tu chini karibu na stage tukawa tunasalimiana na mwanangu kalala Juniour, akaniomba tukae wote pale meza ya chini na kwa kawaida mimi huwa napenda kukaa upstairs, mwana huwezi amini kilichotokea pale mezani kuna watu wanawapenda wasanii wao yule jamaa aliyekuwa amekaa na Kalala Juniour hakutaka sisi kuspend hata single cent i was taking a wisky na mshikaji wangu alikuwa anapiga wine na zote mwendo wa chupa na siyo kwa toti tena kwa bei ya club, Pdg wa Kalala alicover bill mpaka last round.

Nimetoa maelezo haya ujuwe jinsi watu wanavyowaenzi wasanii wao, jamaa alifanya yote hayo baada ya kugunduwa mimi na Kalala Junior tupo karibu na yeye kama pedeshee wa Kalala akaonesha kwa vitendo kwamba Kalala ana wadau wake wanaomlipa na kumtuza kuliko Asha Baraka anavyomlipa.

Nilichoka muda wa kutunza ulipofika jamaa kumbe ina bodigadi wawili wanatulinda .

Nikirudi kwa Kiba hii tabia yake ya kuapply low profile angekuwa hana kipaji cha hali ya juu kwakweli angeshakufa kimuziki mazima na hata trip za show za mamtoni angezisikia redioni tu.
 

mmmmh!!! Matola we nawe kwa misele sasa!! Kiba ajichanganyepo nayeye uh!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…