Uzi huu unapaa sana kama roketi.
Hahahaaaa eti another day,another dollar....morning
Guys jana nimelala na raha sana hadi nimeamka na hangout ya furaha...heheheeee
Mhhh watu wachokozi jamani!!!hasa huyo jamaa aliyecomment hapo mwanzo kabisa...hahaaa
Hahahahaaa yaani nimecheka hatariiii,watu wachokozi sana
Hivi geniveros ushapata copy ya kitangoma?Mimi sijui nikatafute lini lakini must be nipate namie copy yangu
Mama niaje?nipe report za kitangoma na mie niwe updated
Kwa raha zako kwani hatari kitu gani?
We leave only once.
ulipotelea wapi na wewe jamani??
Mama niaje?nipe report za kitangoma na mie niwe updated
Huku Namtumbo sijaliona.