Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
karibuuu, sie wengine ndio tushachukua likizo now tunajiburudisha tuu na kiba wetu
Asante yaani nachoka kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
karibuuu, sie wengine ndio tushachukua likizo now tunajiburudisha tuu na kiba wetu
Asante yaani nachoka kweli
Dah ngoja na mimi nikaulizie leo
poleeee sana mama
asante sina housegirl naogopa ht kua jae has we acha
Nimewamiss hatariii,mmoja aliniambia yuko kwenye kampeni...hahaaaa
Jamani teamukwelinauwazi wamem ripoti akafungiwa nini?Mimi sijamuona leo jamani nimekasirika hatariiii...au kaniblock nini?lakini mimi hua sicomment zaidi ya kusoma tu,eti geniveros
haya mambo ya team fulani mnalipwa nini?
duuuh!! nina muda cjakwenda huko, nimenogewa na kiba wetu walaaa cna muda na hayo mengine
haya mambo ya team fulani mnalipwa nini?
Mimi nina kama mwezi sijakanyaga huko ni leo tu
Na wewe hayo maswali unayouliza unalipwa na nani?
Na wewe hayo maswali unayouliza unalipwa na nani?
karibu home sweet home, hii njia pia ni nzuri tuu na tumekuelewa kuwa wewe ni shabiki mkubwa wa kiba na km huwa wanalipwa basi tuanze na wewe, umelipwa nini?
nimepita huku nikakuta mnapoteza muda bila malipo
mahousegirl wenyewe hawa sasa, duuuh mie nikiwaza tu mpaka naccmkwa