Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kuwa makini unapokuwa unaunda swali hadharani, kwa sababu aina ya swali lako inakuonesha kiasi cha upeo wako. Kwa hiyo unaweza kufanya watu wakuweke kwenye daraja la chini kiuwezo wa kufikiri kama wengi wetu walivyokuona hapa.
Kushabikia mwanamuziki sio kupoteza muda, hata Rais wa Marekani, Barack Obama (Rais mwenye majukumu mengi) alimtaja hadharani Carly Rae Jepsen kama ndiye anayemshabikia kupitia wimbo wake wa Call Me Maybe.
Ova
Hahahaaa! Hamna bwana...
Ova
mnapoteza muda tu hapa hata mtukane vipi au mni-rate kwa viwango gani. Kwani Obama ni Mungu akifanya jambo ndio na wewe ufanye? poor thinking capacity
Nimekutolea mfano wa mtu ambaye ana majukumu mengi. Wala hakuna mtu atakayekulamisha kuamini tofauti na unavyoamini, coz hatujui malezi yako.
Ila binafsi sipotezi muda, miradi na kazi zangu zinaenda na kukua kila siku, na bado niko hapa namshabikia Kiba, kwa muda ambao hata wewe uko hapa pia, ila bado hupotezi muda.
Ova
Ya leo kali, nimemficha tena.... Hahahaa!
Ova
sasa haonekani cjui kenda wapi, au ndio hiyo hangover haijaisha?
we mwana wewe mwanaaa... mwana jeuri sana, ulichokitaka hupataa umekosa ulivyoacha.... nifah akija atamalizia
Hellow wapenda mimi ni mpnz mkubwa wa alikiba na huu uzi umenivutia kujiunga jf maana nimeona nisiishie kusoma tu napitwa na mengi support pia yatakiwa nampenda kiba mpaka naharisha uuuuwi wenye chuki na wachukie tu.
wellcome dear home of gud music, tupate raha na kiba wetu
Thnx hny yaani ukimchukia kiba ni kujitafutia maradhi ya moyo sasa nani anataka hayo yote twajiachia tu sie na king wetu