Ali Kiba Fans' Special Thread...


That's why I like you dude,unatulia....unajibu kiistarabu (kejeli kwa mbaali)...hahahaaa naona hadi ka like si mchezo!
 
we mwana wewe mwanaaa... mwana jeuri sana, ulichokitaka hupataa umekosa ulivyoacha.... nifah akija atamalizia

Oyayeeee...mbona unajitesa sana,omame×3 haya mameee....aeeeee uwiiiii penda Kiba sana mimi
 
Last edited by a moderator:
Oyayeeee...mbona unajitesa sana,omame×3 haya mameee....aeeeee uwiiiii penda Kiba sana mimi

ukaanza kulewaa,madawa, kuvuta kwa sanaaa, ndani ya dar es salaam mambo matamu hayakukuisha hamuu...
 
Karibu home long time no see!umejikaza wee ukaona bora uje kupumua na kujipa raha ya nafsi kwa kuwaongelesha masahbiki wa King!We are humbled u know kupata wageni mara kwa mara kutoka mtaa wa pili hapa ni mtakuja mummy!!

hahahaaaaaaaa
guuuuuuud
betteeeeerrrrr
beeeeeeesstt
 
Hellow wapenda mimi ni mpnz mkubwa wa alikiba na huu uzi umenivutia kujiunga jf maana nimeona nisiishie kusoma tu napitwa na mengi support pia yatakiwa nampenda kiba mpaka naharisha uuuuwi wenye chuki na wachukie tu.

Hahahaa,welcome sweetheart..nimekupendaje sasa?umekuja na vipande vya haja!uwiiiii wakiona hivi kule kijijini watatamani wafe!
 
sanaaaa na unaanzaje kumchukia kiba jamani!!! lazima uwe una matatizo!!! hahaaaa hilo neno "king" linawatoa watu roho jamani, mashabiki ndio tushampa hicho cheo sasa km hutaki kanywe tindikali

Yaani wewe!nowdays tuna Le Mutuz wetu hapa ( atoto) hahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
Kariiibu home Ladatho!!Nimefurahi sana karibu katika familia bora,yenye malezi bora!!Ingawa najua watu itawauma mpaka wapate degedege la nafsi wanabaki kujipitisha tu hapa kama mbu!!kariiibuu

Asanteeeeeeeee yaani nna furaha icyo na kifani naandika huku mwana inaniburudisha hapa. We mwana rudi eeeeeh watafurah wakikuona rejea salama uuuuh yaan full burudani
 
Karibu home long time no see!umejikaza wee ukaona bora uje kupumua na kujipa raha ya nafsi kwa kuwaongelesha masahbiki wa King!We are humbled u know kupata wageni mara kwa mara kutoka mtaa wa pili hapa ni mtakuja mummy!!

Hahahaaa nimechekaje sasa?uwiiiii eti we are humbled u know!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…