Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lile ni fisadi international!Consultancy fee 1.6 billion!du...uchawi yeye,umalaya yeye(alikua anachepuka na jirani yetu),ubabe yeye...maisha mazuri aloishi haridhiki nayo...i hate him!alisababisha hadi mchepuko wake auwawe na mkewe afu likabeba kesi....panya mkubwa huyuWe acha tu kuna watu wengine wanakufuru, na lile lizee la vijisent yeye kila wizi mkubwa humkosi na mgao wake huwa haupungui 1 bilion point something.
Hahahaaa duh leo umepumzika kidogo naona
hivi nimekosea jukwa au??? mbona km sielewi!!!!
Binafsi namkubali sana Ali k. Tatizo n kwamba anakaa muda mrefu baada ya kutoa wimbo. Kila baada ya miezi mitatu atoe wimbo mpya
Lile ni fisadi international!Consultancy fee 1.6 billion!du...uchawi yeye,umalaya yeye(alikua anachepuka na jirani yetu),ubabe yeye...maisha mazuri aloishi haridhiki nayo...i hate him!alisababisha hadi mchepuko wake auwawe na mkewe afu likabeba kesi....panya mkubwa huyu
We acha tu kuna watu wengine wanakufuru, na lile lizee la vijisent yeye kila wizi mkubwa humkosi na mgao wake huwa haupungui 1 bilion point something.
Binafsi namkubali sana Ali k. Tatizo n kwamba anakaa muda mrefu baada ya kutoa wimbo. Kila baada ya miezi mitatu atoe wimbo mpya
Huyu shemeji anaharibu lugha zetu kwa kwelii!!looh!!Hivi shemeji naye ntafurahi siku nkimwona hapa atoe le tamkozz juu ya mahaba yake kwa King wetu jamane!!
wapi geniveros!!mlinzi wa zamu nimeingia kazin ingawa naona baraza lote limehamia siasani...jamani huko siasani mkiona joto hasira limezidi mrudi mtanikuta hapa!!tundu lissu anaongea mambo mazitooo
shem team NGONO PROJECT
management mbovu aly
ajue thamani yake
Aaah...bado upo home tusameheane tu tunapitiwa na joto hasira!
Eti nini?hapa kuna habari nzito sana...huyo mchepuko aliuawa vipi?kwa risasi au?
Wake wa waheshimiwa wachoyo jamani!mapesa yote hayo wanataka wale wenyewe???
umenifanya nicheke jamani, money money pesaaaa, kizuri kula na nduguyo
Karibu home long time no see!umejikaza wee ukaona bora uje kupumua na kujipa raha ya nafsi kwa kuwaongelesha masahbiki wa King!We are humbled u know kupata wageni mara kwa mara kutoka mtaa wa pili hapa ni mtakuja mummy!!
Umeona eeeeh cha peke yako kaburi vingine vyote twashea
daah!Eti nini?hapa kuna habari nzito sana...huyo mchepuko aliuawa vipi?kwa risasi au?
Wake wa waheshimiwa wachoyo jamani!mapesa yote hayo wanataka wale wenyewe???
Ha ha ha haaaaaaaaaaa!Shukrani kwa Ally Kiba kwa kutuunganisha CCM na UKAWA!
Ccm inatupeleka kubaya hata km ndo kula na kipofu co kiivo jamani duuuuh yaani natamani ningekuwa na uwezo wa kuwaondoa wote waliopo madarakani na wananchi wachague viongozi bora. Mm sioni wanachokifanya zaid ya kutudumaza na umaskini we serikali inakopa mpaka hela za kuwalipa watumishi wake mishahara wamekalia umalaya hadi wengine wanaumwa tezi dume