Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ccm inatupeleka kubaya hata km ndo kula na kipofu co kiivo jamani duuuuh yaani natamani ningekuwa na uwezo wa kuwaondoa wote waliopo madarakani na wananchi wachague viongozi bora. Mm sioni wanachokifanya zaid ya kutudumaza na umaskini we serikali inakopa mpaka hela za kuwalipa watumishi wake mishahara wamekalia umalaya hadi wengine wanaumwa tezi dume
 
Wanakera sana hawa wanachuna ngozi imezidi hafu wanalindana watu hawana madawa miradi mingi haiendi eti wanapeana zawadi mbona hawana huruma nataka wote waliopata mgao wakomeshwe aarrrrrgh
 
Umemaliza kila kitu.....hiyo ndo ccm maslahi!
 
Hili suala ni balaa,kila mtu atabeba msalaba wake,aisee
Hahahaaaa eti tezi dume
Jamani nilikua namuamini na kumpenda prof. Anna Tibaijuka sijui imekuwaje na yeye pia yumo,dah!

Yeye alipokea mshiko in good faith tu! Ni kahela ka ugolo tu.
 
Wanakera sana hawa wanachuna ngozi imezidi hafu wanalindana watu hawana madawa miradi mingi haiendi eti wanapeana zawadi mbona hawana huruma nataka wote waliopata mgao wakomeshwe aarrrrrgh

Kibaya zaidi wanakula kodi zetu ajira wanapeana wao na familia zao tukisema tuanzishe miradi yetu km viwanda tusiwategemee wao ndo wa kwanza kuua hivyo viwanda kwa kuagiza vitu toka nje ya nchi mfano ni hili suala la sukari linaloendelea
 
Ccm inatupeleka kubaya hata km ndo kula na kipofu co kiivo jamani duuuuh yaani natamani ningekuwa na uwezo wa kuwaondoa wote waliopo madarakani na wananchi wachague viongozi bora. Mm sioni wanachokifanya zaid ya kutudumaza na umaskini we serikali inakopa mpaka hela za kuwalipa watumishi wake mishahara wamekalia umalaya hadi wengine wanaumwa tezi dume

Hahahaaa mimi nilishangaa sana tezi dume kutangazwa hadharani!!
 
duuuuh mmefika huku!!! aiseeee guuud, kiba we kiba weee
 
Uwiiiii mbavu zangu jamani!!!

Uwiiiiii jamani nakipendaje hicho kipande???pia mama yangu anaupenda sana huu wimbo.

Nzuri kabisa

watu makini sana wa humu

Atoto nipoooo!!ni hizi shughuli za hapa na pale na mambo ya escrow!!Ila hapa ni mahali pa kutolea machungu ya mambo maovu yanayofanywa na hawa wana siasa wetu pamoja na viongozi wa nchi!!

nafurahiii mpaka naumwa
 
Wapi Geniveros!!mlinzi wa zamu nimeingia kazin ingawa naona baraza lote limehamia siasani...jamani huko siasani mkiona joto hasira limezidi mrudi mtanikuta hapa!!Tundu Lissu anaongea mambo mazitooo

mlinzi wa zamu naona kazi yako, nakupendaje sasa!
 
Habari za mchana!poleni na mabalaa ya bunge....tunatiana pressure bureee...kweli utaifa mbele kule siasani opera min kanikosha anatoa makavu live kwa CCM!(Usipate bichwa)
 
Mhhh jamani 1.6 billion ni kahela ka ugoro?Mimi ningepata hata nusu yake si ningefanya mabalaa!!

We acha tu kuna watu wengine wanakufuru, na lile lizee la vijisent yeye kila wizi mkubwa humkosi na mgao wake huwa haupungui 1 bilion point something.
 
Habari za mchana!poleni na mabalaa ya bunge....tunatiana pressure bureee...kweli utaifa mbele kule siasani opera min kanikosha anatoa makavu live kwa CCM!(Usipate bichwa)

Hahahaaa leo atajisifia balaa,achana nae bwana usirudie kumtaja tena hapa
 
Back
Top Bottom